Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Akiwa na tattoo ,bleach masikio kavaa hereni Saba Saba na vikuku ni kujiongeza tuMimi wenye mitatoo ndo nimeshindwa kabisa kuwachukulia ni fashion tu
Nothing but Wahuni...
Uyo waivo hajawahi hata Kuingia Kanisani/Msikitini.
Hiyo papa utakuwa unaikodisha tuu,wakimaliza kuitumia wanakuachia,haa haaNimeweka purple kichwani ni manjonjo tu mimi si muuza papa
👏👏Kwangu sio big deal... Nahisi hata zamani walipoanza kuvaa suruali kuna watu walikuwa na mtazamo kama wako... Lakini leo ni kawaida tu ... I bet hata hizo hairstyle itakuwa normal very soon.
Nacheka hizi comments na bleach yangu kichwaniHuo ndio ugonjwa wangu. Sema tu asiweke bleach ya grey, maana kuna mmoja nilifikiri ni ufagio umening’inizwa.
Sent using Jamii Forums mobile app