Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?

Watu wa foreve mko wapi mbona kimya!?.Tena kwenye huu uzi naona bidhaa mbili zinatangazwa Clean9 na arg+. Nashangaa mko kimya!
 
pamoja na yote mliyosema kuhusu hawa watu lakini mi naomba niseme ukweli kuwa hizi product zao zinasaidia sana, sana..mi nilimnunulia kakangu amabye alikuwa mgonjwa mahututi na ndani ya muda akapata nafuu kubwa sana..nikataka kuprove kama ni hizi juisi au sio nikaacha kumnunulia, baadae hali yake ikazorota sana nikamrudishia tena akaimprove...na kaanza kazi zake kama kawaida..
huyu kakangu alifanyiwa operation ya tumbo na tulihangaika sana hadi india lkn bado alikuwa mdhaifu na maumivu hayaishi..nilipojaribu hizi dawa zilimsaidia saaaana..
kwa hivo mimi naziamini kwa kweli ila kujiunga mdio sijajiunga cos sikufanya biashara ila nilinunua kutoka kwa rafiki yangu tu
 
wale members waje wadadavue kwa ujasiri maana wako wengi...wananufaika kweli au ndio kufa kisabuni maadam walishajiunga?
 
Mi binafsi sio member ila nimehudhuria semina kama mbili za forever living atlist they are realistic ila swala la kuona kuona safari kama kwenda nairobi ni mafanikio ni masihara sana
 
Kazi ipo..!
 
Wakuu mimi huwa natumia dawa ya meno ya forever ambazo huwa nazipata kwenye pharmacy. Ukiacha mifumo yao ya kibiashara, hii ni product nzuri iliyonifanya niache kuendelea kung'oa meno.
 
Nimekusouma kaka, next time nitajirekebisha and sinta post thread yoyote hapa JF kwa kumix Swahili and Kiingereza.
Hata uki "mix"basi huo mkorogo wako uwe na ufasaha! maana hapo unaonekana mwepesi kila upande uliogusa wa lugha zote mbili pia maandishi yako yana"kelele"!
 
network marketing ni biashara ya 21st century hakuna prymid scheme wala nn. msome jamaa anaitwa Robert kiyosaki. hakuna deci hapo ni biashara kama biashara nyingne ila katika system mpya
 
network marketing ni biashara ya 21st century hakuna prymid scheme wala nn. msome jamaa anaitwa Robert kiyosaki. hakuna deci hapo ni biashara kama biashara nyingne ila katika system mpya
Ukitaka kujua tofauti/usawa wa Deci na forever living angalia tofauti kati ya rushwa na takrima..
 

Ni PM namba yake na mm nikale aisee..nipunguze machungu ya muda wangu kwenye semina uchwara
 
Enos Salema

Jamaa namkubali sana nilipiga nae kazi vodacom jamaa mshiko anao maana kanunua gari Discovery4 mpya pale posta na pia ana ghorofa moja na yupo around 30yrs....FLP Daima.
 
SORry lkn! mbona wengi wao ni wahaya lkn? maana walikuja hapa arusha last month GOLDEN rose nikaambulia wine ya alvera bt nikawa mgumu mpaka leo wananitongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…