Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Ni sanaa na wasanii!.
Pasco
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sanaa na wasanii!.
Mwogope huyo kama ukoma, atakuingiza ambapo utajuta
Yaan hata mi nishasomeshwaa sana kuhusu hawaa watu ila mwenye nayo yupo Marekan anaitwa Morgan ana jina refu nimelisahau,ila hua siwaelewii kabisaaa
Na mara nyingi wamewahi kunialika pale Blue Pearl - Ubungo Plaza kwenye tafrija yao, nikaona huu bado ni mtego tu...waliwahi kuniita kwenye moja ya semina zao,walikua wameandaa chakula na vinywaji. Niliupigaje mpunga? Nikashushia na vinywaji vya haja. Mpaka leo sijajiunga nao!
Hao wangekutana na waliodata mbili haishiki wala tatu haipatikani lazima wangeomba msaada kutoka FFU...Hao hao Forever living juzi tu wamewatumia watu message za kuwaita kwenye interview wakadanganya jina la kampuni na mwanangu mmoja nae alikua kwenye huo mkumbo wa hiyo interview,number wanazitoa huko mitandaoni wanakoapply watu kazi hasa mtandao wa zoom, aliniambia walivyofika pale wakawaomba radhi kwa kuwadanganya wakawaweka kwenye room moja wakaanza hizo presentation zao na ushuhuda huo unaousema,imagine kama mchezo huu umfanyie mtu yuko mkoani achome nauli yake aje hapa akutane na hizo jokes?? Na ujumbe wenyewe ni huu hapa.....
HALLO!
YOU ARE RECEIVING THIS MESSAGE IN REGARDS TO YOUR APPLICATION TO THE VACCANCY OF I.T. TOMMOROW MORNING ALL CANDIDATES MUST COME TO HOLIDAY INN HOTEL POSTA AT 10:00AM.
WE SINCERELY APOLOGIZE FOR LATE NOTICE WE HAD PROBLEMS THAT ARE OUT OF OUR CONTROL, IF YOU ARE IN DAR RESPOND EARLY TO CONFIRM YOUR PRESENCE AND IF YOU ARE IN OTHER REGIONS MENTION WHERE.
FOR THOSE IN DAR COME WITH YOUR CERTIFICATES, NOTEBOOK&PEN
REGARDS
MORANIA LTD.
Hahahahaaaaaa....watakuwa walikuchanganyia na Alovera zao...waliwahi kuniita kwenye moja ya semina zao,walikua wameandaa chakula na vinywaji. Niliupigaje mpunga? Nikashushia na vinywaji vya haja. Mpaka leo sijajiunga nao!
Wewe umejiunga lini?
Mkuu nikupe ushauri wa bure! Acha ulimbukeni! Ukiamua kutumia kiswahili andika kiswahili na ukiamua kutumia kiingereza andika kiingereza. Hii changanya uliyofanya inaharibu ladha nzima ya ulichoandika na inaonyesha ulimbukeni wa hali ya juu!
Yaani kwa hesabu za harakaharaka "graduate awe anaingiza 18,000,000 tsh kwa mwezi....kwa mwaka it's about 216,000,000 tshs....how many graduates wanaingiza hizo pesa.!!!kweli limbukeni grow up! Learn to appreciate n encourage other people's efforts...hata Kama huoni ni muhimu kwako kwao ni muhimu...
Limbukeni mwenye kama hujui nenda darasni..... mtoa mada yupo CLEAR wewe ndo mateja ya kampuni hizo
Hao hao Forever living juzi tu wamewatumia watu message za kuwaita kwenye interview wakadanganya jina la kampuni na mwanangu mmoja nae alikua kwenye huo mkumbo wa hiyo interview,number wanazitoa huko mitandaoni wanakoapply watu kazi hasa mtandao wa zoom, aliniambia walivyofika pale wakawaomba radhi kwa kuwadanganya wakawaweka kwenye room moja wakaanza hizo presentation zao na ushuhuda huo unaousema,imagine kama mchezo huu umfanyie mtu yuko mkoani achome nauli yake aje hapa akutane na hizo jokes?? Na ujumbe wenyewe ni huu hapa.....
HALLO!
YOU ARE RECEIVING THIS MESSAGE IN REGARDS TO YOUR APPLICATION TO THE VACCANCY OF I.T. TOMMOROW MORNING ALL CANDIDATES MUST COME TO HOLIDAY INN HOTEL POSTA AT 10:00AM.
WE SINCERELY APOLOGIZE FOR LATE NOTICE WE HAD PROBLEMS THAT ARE OUT OF OUR CONTROL, IF YOU ARE IN DAR RESPOND EARLY TO CONFIRM YOUR PRESENCE AND IF YOU ARE IN OTHER REGIONS MENTION WHERE.
FOR THOSE IN DAR COME WITH YOUR CERTIFICATES, NOTEBOOK&PEN
REGARDS
MORANIA LTD.