Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?

Mwogope huyo kama ukoma, atakuingiza ambapo utajuta

mkuu huyo jamaa ananisumbua mbaya kabisa halafu ni rafiki yng wa karibu naona aibu kumwambia sitaki nimebaki kumpiga kalenda za hapa na pale.
 
Mwaka jana nilifanya mawasiliano na sales department na kampuni moja kubwa ya vifaa vya solar. Basi yule sales baadaye akanipigia simu kwa namba yake binafsi,basi akawapa namba hao jamaa. Natoka ofisini kwenye ile kampuni masaki mkabala na sea cliff jamaa hawa hapa wanapiga simu nawaona wapo watatu,wamevaa suti zao. Mimi nikahisi ni majambazi maana wapo organised mno. Nikajigusa gusa nikaona mguu wangu wa kuku upo sawa. Akaja jamaa mmoja nadhifu sana kashika ipad. Akaniomba nikutane nao Landmark hotel,nikambana sana yeye nani akadokeza anataka tufanye biashara,ipi marketing. Pambafu,,,nilimwachia moshi tuu pale wa nissan safari dume.
 
Hao hao Forever living juzi tu wamewatumia watu message za kuwaita kwenye interview wakadanganya jina la kampuni na mwanangu mmoja nae alikua kwenye huo mkumbo wa hiyo interview,number wanazitoa huko mitandaoni wanakoapply watu kazi hasa mtandao wa zoom, aliniambia walivyofika pale wakawaomba radhi kwa kuwadanganya wakawaweka kwenye room moja wakaanza hizo presentation zao na ushuhuda huo unaousema,imagine kama mchezo huu umfanyie mtu yuko mkoani achome nauli yake aje hapa akutane na hizo jokes?? Na ujumbe wenyewe ni huu hapa.....

HALLO!
YOU ARE RECEIVING THIS MESSAGE IN REGARDS TO YOUR APPLICATION TO THE VACCANCY OF I.T. TOMMOROW MORNING ALL CANDIDATES MUST COME TO HOLIDAY INN HOTEL POSTA AT 10:00AM.
WE SINCERELY APOLOGIZE FOR LATE NOTICE WE HAD PROBLEMS THAT ARE OUT OF OUR CONTROL, IF YOU ARE IN DAR RESPOND EARLY TO CONFIRM YOUR PRESENCE AND IF YOU ARE IN OTHER REGIONS MENTION WHERE.
FOR THOSE IN DAR COME WITH YOUR CERTIFICATES, NOTEBOOK&PEN

REGARDS
MORANIA LTD.
 
waliwahi kuniita kwenye moja ya semina zao,walikua wameandaa chakula na vinywaji. Niliupigaje mpunga? Nikashushia na vinywaji vya haja. Mpaka leo sijajiunga nao!
Na mara nyingi wamewahi kunialika pale Blue Pearl - Ubungo Plaza kwenye tafrija yao, nikaona huu bado ni mtego tu...
 
Hao hao Forever living juzi tu wamewatumia watu message za kuwaita kwenye interview wakadanganya jina la kampuni na mwanangu mmoja nae alikua kwenye huo mkumbo wa hiyo interview,number wanazitoa huko mitandaoni wanakoapply watu kazi hasa mtandao wa zoom, aliniambia walivyofika pale wakawaomba radhi kwa kuwadanganya wakawaweka kwenye room moja wakaanza hizo presentation zao na ushuhuda huo unaousema,imagine kama mchezo huu umfanyie mtu yuko mkoani achome nauli yake aje hapa akutane na hizo jokes?? Na ujumbe wenyewe ni huu hapa.....

HALLO!
YOU ARE RECEIVING THIS MESSAGE IN REGARDS TO YOUR APPLICATION TO THE VACCANCY OF I.T. TOMMOROW MORNING ALL CANDIDATES MUST COME TO HOLIDAY INN HOTEL POSTA AT 10:00AM.
WE SINCERELY APOLOGIZE FOR LATE NOTICE WE HAD PROBLEMS THAT ARE OUT OF OUR CONTROL, IF YOU ARE IN DAR RESPOND EARLY TO CONFIRM YOUR PRESENCE AND IF YOU ARE IN OTHER REGIONS MENTION WHERE.
FOR THOSE IN DAR COME WITH YOUR CERTIFICATES, NOTEBOOK&PEN

REGARDS
MORANIA LTD.
Hao wangekutana na waliodata mbili haishiki wala tatu haipatikani lazima wangeomba msaada kutoka FFU...
 
waliwahi kuniita kwenye moja ya semina zao,walikua wameandaa chakula na vinywaji. Niliupigaje mpunga? Nikashushia na vinywaji vya haja. Mpaka leo sijajiunga nao!
Hahahahaaaaaa....watakuwa walikuchanganyia na Alovera zao...
 
mnalazimisha saana nyie watu wa gnld mpaka hata mtu mjinga lazima awashtukie,ww ingekuwa na utajiri kiasi hicho sidhani hata kama mgewalazimisha watu wawe matajir,mmezid saana
 
Dah jamani mi nimepotezea mke huko ndoa ishakufa kwa 80% sijui nitawaambiaje watoto
 
Mkuu nikupe ushauri wa bure! Acha ulimbukeni! Ukiamua kutumia kiswahili andika kiswahili na ukiamua kutumia kiingereza andika kiingereza. Hii changanya uliyofanya inaharibu ladha nzima ya ulichoandika na inaonyesha ulimbukeni wa hali ya juu!

Limbukeni mwenye kama hujui nenda darasni..... mtoa mada yupo CLEAR wewe ndo mateja ya kampuni hizo
 
LIKUD kwanza acha dharau, ukiachia mbali kuwa unaona kazi isiyo na tija kwako, bado sio sahihi kuiita ---- kazi ambayo mwenzako anafanya na kuishi...hapo umekosea kaka.

Kuna kazi niliwahi fanya ya restoration ya mining eneo moja (Howard spring)
Analyst alikuwa analipwa AUD 1,800 kwa saa, ni kama 3m kwa saa. Hivi huyu ataitaje mshahara wako mkuu?

Kifupi tu ujumbe wako haujakaa vizuri anyway poa kila la kheri
 
Last edited by a moderator:
Yaani kwa hesabu za harakaharaka "graduate awe anaingiza 18,000,000 tsh kwa mwezi....kwa mwaka it's about 216,000,000 tshs....how many graduates wanaingiza hizo pesa.!!!kweli limbukeni grow up! Learn to appreciate n encourage other people's efforts...hata Kama huoni ni muhimu kwako kwao ni muhimu...

Ni kweli. Maji ya kifuu bahari ya chungu
 
Limbukeni mwenye kama hujui nenda darasni..... mtoa mada yupo CLEAR wewe ndo mateja ya kampuni hizo

Hahahahaha akili za ndugu zangu nyie sijui mpoje; hivi ulishaona mzungu anachanganya kiswahili na kizungu? Ama uone marekani wanashabikia Tanzania Vodacom Premier League?

Kuchanganya lugha sio dhambi ila haileti picha 'flan' nzuri
 
Mimi niliwahi kujiunga na forever living enzi hizo 2009 kibox cha dawa zao kilikuwa 450000/- .yaani niligeuka machinga nilizungusha product mwezi mzima hazikuisha ikabidi nyingine nikopeshe watu na nyingine nitumie nilikoma.
 
Hao hao Forever living juzi tu wamewatumia watu message za kuwaita kwenye interview wakadanganya jina la kampuni na mwanangu mmoja nae alikua kwenye huo mkumbo wa hiyo interview,number wanazitoa huko mitandaoni wanakoapply watu kazi hasa mtandao wa zoom, aliniambia walivyofika pale wakawaomba radhi kwa kuwadanganya wakawaweka kwenye room moja wakaanza hizo presentation zao na ushuhuda huo unaousema,imagine kama mchezo huu umfanyie mtu yuko mkoani achome nauli yake aje hapa akutane na hizo jokes?? Na ujumbe wenyewe ni huu hapa.....

HALLO!
YOU ARE RECEIVING THIS MESSAGE IN REGARDS TO YOUR APPLICATION TO THE VACCANCY OF I.T. TOMMOROW MORNING ALL CANDIDATES MUST COME TO HOLIDAY INN HOTEL POSTA AT 10:00AM.
WE SINCERELY APOLOGIZE FOR LATE NOTICE WE HAD PROBLEMS THAT ARE OUT OF OUR CONTROL, IF YOU ARE IN DAR RESPOND EARLY TO CONFIRM YOUR PRESENCE AND IF YOU ARE IN OTHER REGIONS MENTION WHERE.
FOR THOSE IN DAR COME WITH YOUR CERTIFICATES, NOTEBOOK&PEN

REGARDS
MORANIA LTD.

Aisee hawa watu wamezidi utapeli.kuna rafiki yangu tumesoma wote shule katupigia kutualika kwake kuna get together party aisee kufika kumbe ni issue ya forever halaf kamuita upliner wake aje atusomeshe.nilichukiajeee?
 
laki 6 kwa watumishi wa serikali ni nyingi huko wanalipwa mpaka laki mbili take home angalia usijilinganishe na matajili wenzako hapa watu wanakosa mlo wa siku moja ambao ni 1200
 
Back
Top Bottom