Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?

Hahaaa mbavu zangu sina
 
Wameanza kuja
 
Mkuu ukitumia kiswahili utapendeza zaidi. Looser maana yake nini? Mimi nahisi ulikuwa unamaanisha loser.
Hapa pia umechanganya sana madesa. Umekoaea

"These people, are realy dont know what is going on..."
well, umeongea jambo la msingi lugha kidogo inakusumbua ungeandika kiswahili bado tungeamini umesoma na unajielewa.unapotaka kutumia english kuwa makini au tu consult sisi wataalamu tusaidiane. Nashukuru.



 
U
Umenikumbusha katuni ya 'Cars'- losers! I eat losers for breakfast!
 
Binafsi wapo ambao ni majirani zangu. Walishanishawishi nikawaambia mpaka nione positive changes in their lives. Kwa maana ya kuanzia kufikiri, maendeleo chanya ya physical materials kama nyumba nzuri, gari zuri, shule nzuri kwa watoto, n.k
Naona hawapigi step forward, sasa sijui kuna mzimu huko!
 
Ukishindwa kutumia akili zako uwe na uhakika kuwa wenye maarifa watatumia akili zako kikamilifu na watatajirika!!! GNLD ni aina flani ya umachinga wa dawa tena zenye ghali, watu wengi wameingia kingi. Nilimsikia mtu mmoja akisema kuwa sasahivi cheo chake ni kikubwa sana GNLD kwa misingi kuwa anawateja wengi wa kuuzia hizo wanazoita food suplement. Think wide before any decision.
 
Kakosea kidogo tu!!!!
 
What a man make for his living its non of my business (Don Corleone)

Nafikir waachwe waangalie fursa cha msingi ni kuweza kujikomboa na umasikini

Watanzania tumejawa na uongo+uoga+majungu+wivu na unafiki
Kupunguza sauti ya TV ili kunusa nini kinaungua jikoni
 
you do not know well about economics and economic dvpment! unazarau laki sita_ unajua uchumi unaanzia bei gani,yale madawa ya forever ukiugua au ukawa unajali afya yako utayapenda sana Ila kwa sasa huna pesa ndo maana hujui kugaramia bizaa za viwango.bei ya colgate sio sawa na aha.kua uyaone,jifunze uelewe,soma uelimike.
 
Kuna dada mmoja tunakaa jirani nikaona anaanza kunichangamkia sana km tumejuana siku nyingii,siku moja kaja kugonga geti anataka tuongee nikamkaribisha ndani anaanza kuniambia habari za forever living sijui nn ukitaka kujiunga unaanzia laki 7.


Nikamwambia asante sana sina interest na mambo hayo kbs hata kama kujiunga ni bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…