MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Kama hiyo biashara ni ya kwako, ajiri mtu wa kuhandle wateja! Customer relationships/Customer care/Customer support, n.k ni taaluma!Mteja kaniambia nafanya biasharara kishamba jana kwa sababu hakuna free delivery
Yaani aliniwakia nahisi alikua ana stress,
Leo katuma mwingine kuchukua mzigo.
Kwa kifupi jana alinigombeza sana,ni kitambo sana kukutana na mteja mkorofi hivi,
Hayo maneno aliongea kwa simu wakati anaweka order
Je wenzangu mnadeal vipi na wateja waliovurugwa
Kuna tabia moja ya hovyo sana hasa Kariakoo ya wafanyabiashara kuuza bidhaa moja kwa bei tofauti kwa wateja tofauti, wanakuangalia ulivyo wanakupachika bei wanayojisikia.Mimi nawachekaga tu mpaka wanaondoka wenyewe bila huduma.
Maana hauwezekani ufosi huduma ambayo sina na bado ufosi nikupunguzie bei wakati siku hiyo sijisikii basi nitawacheka sana na ili akome kunisumbua naishiaga kuwaambia nyie hamna hela ni masikini tu mmekuja kunipunguzia stress zenu .
Unauza nini Mama Yeyo nije kukugombeza na Mimi?Nimevumilia ndo hata sijaongea leo wakati wanafata mzigo
sasa ukute na sura yako imekaa kitapeli ndo utajuta..😂Unawasikiliza tu usiwajibu chochote akimaliza unaendelea kumhudumia.
Hapo bado kuna ambao ukiwaambia walipie kabisa ndo umtumie mzigo wanakuambia tapeli yaani acha tu😥😥
Vitu kama vya kina nifferUnauza nini Mama Yeyo nije kukugombeza na Mimi?
Hahahahah uwiiisasa ukute na sura yako imekaa kitapeli ndo utajuta..😂
Yaani sometimes unaweza ushikwe na hasira ila ukiangalia una shida na hela, unakua huna namna isipokua kuendelea kumshawishsasa ukute na sura yako imekaa kitapeli ndo utajuta..😂
Lazima uchekechweKuna tabia moja ya hovyo sana hasa Kariakoo ya wafanyabiashara kuuza bidhaa moja kwa bei tofauti kwa wateja tofauti, wanakuangalia ulivyo wanakupachika bei wanayojisikia.
Nauza bei za kawaida sana,naagiza moja kwa moja china na bei nimevunja kweli kweli,lakini si unajua tena wateja wako tofautiMisingi yako kwenye biashara yako ndiyo kitu cha msingi ila wateja pia wawekee standards ambazo hazitawaumiza.
Na wateja ndio maana nao wanakuwa vichomi maana wanajua wanachekechwa.Lazima uchekechwe
Wlorld wide free delivery bidhaa bei huwa juu sana means wameweka humo nauli katika beiWafanyabiashara wengi wa Tanzania wanafanya biashara kienyeji, kijanjanja, kizamani na kimazoea sana pia, wakati mwingine wateja wanaokereka nao wanakosa uvumilivu.
Huwezi ridhisha kila mteja.Nauza bei za kawaida sana,naagiza moja kwa moja china na bei nimevunja kweli kweli,lakini si unajua tena wateja wako tofauti
Kuna sehem nilikua nasoma hints za biashara kwenye coments watu wanasema ukitaka kujua watu ni wa ajabu fanya kwenye hiz kfc,mcdonals and the like mteja anakuja anataka cheeseburger without cheese........like wtf do you want???Na je, ungekuwa customer care wa TANESCO..?
Niliwahi fanya miaka flani, mbaya zaidi hiyo wilaya ilikuwa ina changamoto kubwa mno ya umeme..
Kwa matusi na hekaheka nilizokula, sijui nini kitanishtua tena..!!🙌
Sure mimi msingi wangu ni jumla kuanzia pis mojaHuwezi ridhisha kila mteja.
Ukitaka kufanya hivyo basi utakuwa unafanya biashara kichaa.
Kama umeamua ku offer service fulani basi hakikisha hakuna upande utaumia.
Hiyo ndiyo siko tayari ni bora nisiuze ila sio mteja aanze naye kunidalaliaKuna tabia moja ya hovyo sana hasa Kariakoo ya wafanyabiashara kuuza bidhaa moja kwa bei tofauti kwa wateja tofauti, wanakuangalia ulivyo wanakupachika bei wanayojisikia