Mnawakumbuka tigo??wazee wa pikpik waliitutesaa sana wakaanza kubeba majukumu ya traffic kabla hawajatolewa resi loh

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
n mda sasa leo nimewakumbuka wazee wa tigoo

walikuwa wanakamata pikpik na wengine walijilimikisha kabisa mishahara vs bodaboda yaan wakifika kijiweni boda incharge anakuwa ashakusanya mafao wanawapa

haitoshi wakanza kuvamia na magari yetu Mungu fundi walifanya matukio kadhaa machafu wakapigwa stopp
 
Kuna mikoa bado wapo mbona yaani unakuta askari wa kawaida sio traffic wako kikundi cha askari watano jioni saa 12 wamebana kwenye barabara yenye msongamano wa maduka wanasimama hapo wanakamata pikipiki wanakagua helment,reseni
Wanapiga watu faini na kukusanya hela
 
Aaiseee so sad kama yanaendelea yalemmamboyakipuuzio kabisa....nakumbuka mmoja alinikamata akataka kuingia garini kwangu nkamwambia huna mashine Twente kituon ukanipe karaatasi ntalipa nkipata hela 😆 😂 ooh unakiburi kitendo cha kuniita na kiburi wallah taa zimeruhusu hata sikuagq fyuuuu nkasema tutakutqnq akipenda allah
 
Back
Top Bottom