Huyu ni wa karibuni kidogo japo bado anasika kwenye redio mbali mbali km TBC fm na RFAMzee sonda kutoka makongoros Chunya yeye na swaga zake "baba mzazi baba ahsante babaaaa"
Sijui wako wapi hawa jamaaa nimewamiss sana enzi zile za Hakuna kulala na Whitedent ya RFAChesco mzee wa matunda - soko kuu dodoma ...sijui wako wapi hawa jamaa.
Naaam Chabela Camp kuna Draft la nguvu linapigwa sana na kuna mafundi wazuri sana. Ila Kamanda Manyota anauza sana nazi anakosa muda wa kutuma salamu.Habari wana Jamvi.
Wale watuma salamu maharufu redioni wapo wapi mbona hawasikiki tena miaka ya hivi karibuni.
Wapo wapi Manyota top Manyota, John Msalaba a.k.a Mtumishi wa Mungu, Dogo Beka Dogo Beka na Makamanda wal Chabela Camp pale Dodoma.
Akina kung'ombe chacha kung'ombe RFA enzi hizo kuanzia saa 10 . Wakati huo umeamka saa 9 au 10 unatiririka na kitabu hadi 12Sijui wako wapi hawa jamaaa nimewamiss sana enzi zile za Hakuna kulala na Whitedent ya RFA
Mama-a pendo mama-a afrika mlingoti wa chuma