strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,919
- 3,313
Mzee wa igoma kwa watu wazima
Chacha Kung'ombe Sukari Muhiri Obare................ahaaaaa, Muhiri Obare? Naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam!!kuchacha kung`ombe sukari mwili obare.......... mwili obare................. namaaaaaaaaaaaaaaa
huyu mzee anabamba na ile kiki yake yaDah, Muhiri Obare, Naaaaaaaaaaaaaaam.
Siku hizi kuna mzeee Lawena Nsonda kutoka Makongorosi Chunya, naye anabamba balaa.
Hata mimi namfagilia sana aiseeee.huyu mzee anabamba na ile kiki yake ya
EEEEEHH MAMA!!! au EEEEH BABA!! nouma sana huyu mzee...afu ana ongea kwa busara sana
Mkuu upo kitambo sana sijakuona pole na majukumPriscus Ngowii salamu za radio one enzi hizo.
Wapo wengi **** yile chesco mwana wa mwaalim litumbi kuna wale walokuwa wanajiita wataalam fulani kama mtaalam wa kurwkebisha miguu ya mtuyuko wapi huyu mtu alikuwa ni mtuma salamu maarufu sana Radio Free Africa hapo zamani kidogo, huyu jamaa alikuwa ana nifurahisha sana na ule muitikio wake wa "Naaaaaaaaaaaaaam!!"
Kipindi hicho Simu ya Mwili Obare ikipokelewa ilikuwa inakuwa hivi:-
1. MTAMGAZAJI: Halloo naongea na nani?
2. MWILI OBARE: Unaongea na kung'ombe Chacha Mrema Muhiri Obare
3. MTANGAZAJI: Ahaah! Mwili Obare
4.MWILI OBARE: NAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAMMMMMM!!!
Sasa hapo kwenye huo muitikio wa "Naaaaaaaaaaaaaaaamm!!!" ndio alipokuwa anajizolea umaruufu kwa wasikilizaji, enzi hizo nilikuwa sizimi radio/silali nilikuwa nasubili hadi jamaa apige simu kwenye radio ndio.
huyu jamaa alivuma sana kipindi hicho sijui yupo wapi siku hizi.
.....Tukumbushane Kama unawakumbuka wengine walio kuwa maarufu kwa kutuma salamu enzi hizo kwenye radio (yoyote ile) unaweza kuwataja hapa....
Yupo lakini uchumi umeyumba sana,mingine Suzi ngodokiKungombe .... chacha.....mrema..........sukari ..... muriri ......obare;;;;;;;;; muriri onare''''''' Naaaaam.
Jamaa alikuwa na kaduka hapo stendi ya Igoma Mwanza sijui kama bado yupo
huyu mzee anabamba na ile kiki yake yaDah, Muhiri Obare, Naaaaaaaaaaaaaaam.
Siku hizi kuna mzeee Lawena Nsonda kutoka Makongorosi Chunya, naye anabamba balaa.
Sijambo, niko poa tuu.Mkuu upo kitambo sana sijakuona pole na majukum