Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Dah nilienda ukweni mara....situation ilikuwa hivi hiviHere we go forget about KFC brothers
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah nilienda ukweni mara....situation ilikuwa hivi hiviHere we go forget about KFC brothers
Lake zone ndio mambo yetu hayoDah nilienda ukweni mara....situation ilikuwa hivi hivi
Sawa Emmanuel.Lake zone ndio mambo yetu hayo
Unapasuka moyo kwa maisha ya wengine.Halafu wengine wanaoenda kfc nawaonaga ni washamba tuu wala sio maisha yao,unakuta kadada kame mdanga mhuni ili kaende kfc hakana hata hela yake..
Ishini maisha yenu bhana,kama hadhi yako ni kuenda kununua miguu ya kuku enda tuu,sio unafosi ili mradi uzame kfc uonekane nawewe ni wa matawi kidogo.
Sometimes napitaga pale afu nawachora tu maslay queen na mabishoo.
Damu ya pork? kweli kila mtu na anachopenda aiseeUmenikbusha kuna Jamaa yangu alinunua nyama ya 🐖 sehemu fulan akamaindi sana akasusa hata kuila kisa eti yeye amezoea kula ambayo haijakaushwa sana yaan ile damu damu ndio anayoipendelea sana yaan hapendi ikaushweeee wala hapendi mafuta hata ikichomwa isikaushwe sana
Kwa hio kila mtu ana mapendeleo na machaguo yake
mzigo wote uliisha mpaka wakapika tena mwingineUliisha huo ugali?
Boonge lq ugali beseni 2 alafu kuku 4 mtu 5 uliisha huo kweli?
Mwanza hiyo (Ibindo Nyambiti)Hii kama sio Mwanza ni Musoma
UONGOKuna video niliona namna wanachokifanya, wale jamaa sio watu.
Kuku wanapewa chemicals kuongeza weight na wanachinjwa wakiwa wadogo ht wakifa hawaachwi .
Tanzania imejaa watu wanataka wengine waishi maisha yaoUnapasuka moyo kwa maisha ya wengine.
Extreme poverty imeathiri ubongo wako.
None spicy jirani😋
Ondoa shaka jirani...None spicy jirani😋
Milk shake muhimu, nikishashiba badae nashushia.
Me ndio nimetulia hapa nakuskilizia jirani yangu unipe mwongozo.
Asante jirani...Ondoa shaka jirani...
Jirani uta reserve table KFC hata ukichukua take away sawa pia...Asante jirani...
Couldn't ask for a better jirani...Jirani uta reserve table KFC hata ukichukua take away sawa pia...
Sawa jirani... fanya kufungua pm...Couldn't ask for a better jirani...
Take away itafaa nije nile maeneo ya kwetu kwa utulivu zaidi.
Ngoja basi nikishashiba kuku badae jirani.Sawa jirani... fanya kufungua pm...