Mnawapendea nini kuku wa KFC?

Mnawapendea nini kuku wa KFC?

Halafu wengine wanaoenda kfc nawaonaga ni washamba tuu wala sio maisha yao,unakuta kadada kame mdanga mhuni ili kaende kfc hakana hata hela yake..

Ishini maisha yenu bhana,kama hadhi yako ni kuenda kununua miguu ya kuku enda tuu,sio unafosi ili mradi uzame kfc uonekane nawewe ni wa matawi kidogo.

Sometimes napitaga pale afu nawachora tu maslay queen na mabishoo.
Unapasuka moyo kwa maisha ya wengine.

Extreme poverty imeathiri ubongo wako.
 
Upate wa moto crunch wenye pilipili aaah acha kabisa.
20221113_143423.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikbusha kuna Jamaa yangu alinunua nyama ya 🐖 sehemu fulan akamaindi sana akasusa hata kuila kisa eti yeye amezoea kula ambayo haijakaushwa sana yaan ile damu damu ndio anayoipendelea sana yaan hapendi ikaushweeee wala hapendi mafuta hata ikichomwa isikaushwe sana

Kwa hio kila mtu ana mapendeleo na machaguo yake
Damu ya pork? kweli kila mtu na anachopenda aisee
 
Ambao hatujawahi kuwala tunakomenti wapi?
 
Posta
Mikocheni B
Mbezi Beach
Mlimani City
Bagamoyo Road Oryx
Kariakoo
Mikocheni A

Hii ndo franchise pekee ambayo inakuwa
 
Lenie spicy or none spicy?

Milk shake je? Alafu leo KFC ni kuku Tuesday...
None spicy jirani😋
Milk shake muhimu, nikishashiba badae nashushia.

Me ndio nimetulia hapa nakuskilizia jirani yangu unipe mwongozo.
 
Back
Top Bottom