MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Haingii akilini makada wa CHADEMA kuweka namba za watu binafsi mtandaoni na kuhamasishana kuwatukana hao watu huku wakiendelea kupinga kutohusika na jaribio la mapinduzi October 29. Kijana unajisikiaje kuingia mtego wa kutumia simu yako na kuanza kuwatukana kina Mzee Chande na wenzake?
Sidhani kama kuna haja ya kuanza kuunda tume nyingine ya uchunguzi wakati wahusika wa October 29 wamejiweka hadharani. Kamata Heche, Hilda, Maria na wote waliotuma ujumbe na simu za matusi kwa wazee kisha fikisha mahakamani kwa jaribio la mapinduzi.
CHADEMA kwenye hili la kutukana watu mmekosea sana. Mtavuna mlichokipanda siku sio nyingi. Ninawaonea huruma sana vijana walioingia mtego wa kutukana watu. Wataozea jela.