Mnaweka namba za watu hadharani mkihamasisha watukanwe ila mnakana kuhusika na jaribio la mapinduzi Oktoba 29

Kwahiyo matusi yamewauma kuliko wanaotekwa?

Hao akina Chande na Ibrahim wanakula pensheni kutoka kwa waliowatukana.

Hivyo kama watu wameona wamefanya upuuzi na njia ya kufikisha ujumbe ni matuso basi watukanaji wako sawa .

Kabla wewe hujaona ukubwa wa tusi kuliko watu kupotea tueleze hao watu 518 waliuwawa na nani maana waliouwawa hawawezi kujitetea ila hao akina Chande wanajitetea kipi bora?
 
Msijali polisi na mahakama zipo. Haya yote uliyoandika uende mahakamani kutetea watakaokamatwa au waliokamatwa kqa sababu wewe kama keyboard warrior sio mjinga kuwatukana wale wazee kupitia namba yako ya simu.
 
Haingii akilini makada wa CHADEMA kuweka namba za watu binafsi mtandaoni na kuhamasishana kuwatukana hao watu huku wakiendelea kupinga kutohusika na jaribio la mapinduzi October 29. Kijana unajisikiaje kuingia mtego wa kutumia simu yako na kuanza kuwatukana kina Mzee Chande na wenzake?

Sidhani kama kuna haja ya kuanza kuunda tume nyingine ya uchunguzi wakati wahusika wa October 29 wamejiweka hadharani. Kamata Heche, Hilda, Maria na wote waliotuma ujumbe na simu za matusi kwa wazee kisha fikisha mahakamani kwa jaribio la mapinduzi.

CHADEMA kwenye hili la kutukana watu mmekosea sana. Mtavuna mlichokipanda siku sio nyingi. Ninawaonea huruma sana vijana walioingia mtego wa kutukana watu. Wataozea jela.
Hapa tulipofika CCM na Chadema wote
ni tatizo. Mara kuna watu waliokatwa
majina CCM, mara wafuasi wa Magufuri walihusika na maandamano kwa mujibu wa ripoti,mara AZAZI, Wapinzani,nchi za nje etc. hili tatizo linahitaji kuangaliwa kwa kina sana bila kutanguliza itikadi au ushabiki
 
Msijali polisi na mahakama zipo. Haya yote uliyoandika uende mahakamani kutetea watakaokamatwa au waliokamatwa kqa sababu wewe kama keyboard warrior sio mjinga kuwatukana wale wazee kupitia namba yako ya simu.
Hujajibu maswali yangu unarukaruka tu, hizo mahakama na hao polisi wa CCM ndio unaziongelea au ni kitu gani?

Kwahiyo wewe matusi yamekuuma kuliko balozi Polepole aliyetekwa na chama chenu hata mtu mmoja asiongee chochote mnaona mlivyo watu wa ajabu sana.
 
Haingii akilini makada wa CHADEMA kuweka namba za watu binafsi mtandaoni na kuhamasishana kuwatukana hao watu huku wakiendelea kupinga kutohusika na jaribio la mapinduzi October 29. Kijana unajisikiaje kuingia mtego wa kutumia simu yako na kuanza kuwatukana kina Mzee Chande na wenzake?

Sidhani kama kuna haja ya kuanza kuunda tume nyingine ya uchunguzi wakati wahusika wa October 29 wamejiweka hadharani. Kamata Heche, Hilda, Maria na wote waliotuma ujumbe na simu za matusi kwa wazee kisha fikisha mahakamani kwa jaribio la mapinduzi.

CHADEMA kwenye hili la kutukana watu mmekosea sana. Mtavuna mlichokipanda siku sio nyingi. Ninawaonea huruma sana vijana walioingia mtego wa kutukana watu. Wataozea jela.
Kuna tofauti kati ya kupindua Serikali na wananchi kuikataa na kuing’oa Serikali iliyoko madarakani! Kupindua Serikali kunapangwa na kutekelezwa kwa siri, sio kwa kuwaambia watawala openly na kuandamana kama ilivyokuwa October 29.
 
Keyboard warrior ficha upumbavu wako.
 
Haingii akilini makada wa CHADEMA kuweka namba za watu binafsi mtandaoni na kuhamasishana kuwatukana hao watu huku wakiendelea kupinga kutohusika na jaribio la mapinduzi October 29. Kijana unajisikiaje kuingia mtego wa kutumia simu yako na kuanza kuwatukana kina Mzee Chande na wenzake?

Sidhani kama kuna haja ya kuanza kuunda tume nyingine ya uchunguzi wakati wahusika wa October 29 wamejiweka hadharani. Kamata Heche, Hilda, Maria na wote waliotuma ujumbe na simu za matusi kwa wazee kisha fikisha mahakamani kwa jaribio la mapinduzi.

CHADEMA kwenye hili la kutukana watu mmekosea sana. Mtavuna mlichokipanda siku sio nyingi. Ninawaonea huruma sana vijana walioingia mtego wa kutukana watu. Wataozea jela.
CHADEMA hatukutaka kupindua nchi au serekali kama mnavyodai. Sisi tulikuwa na lengo la kuzuia uchaguzi. Na tulifanikiwa kwa 100%. Idadi ya watu waliojitokeza kwenda kupiga kura ilikuwa ni wastani wa watu 17 kwa kila kituo. Hapo tulifanikiwa kuzuia uchaguzi au hatukufanikiwa.
Serekali iliyopo kwa sasa haina uhalali kutoka kwa wananchi. Hilo lipo wali kama ya Mbuzi.
 
Kwani hamna uwezekano kwamba wametoa number na SIO waandaji wa matukio ya October 29?!,,,sijui haya maigizo mnayafanya kwa faida ya nani?? Hapa ni JF home of great thinkers!
 
Mmedata sana na sms za matusi tu? Wimbo umeshatoka sasa, uyo jaji wenu katukaniwa hadi uchi wa bibi yake wa mwaka 1800.
 
CHADEMA hatukutaka kupindua nchi au serekali kama mnavyodai. Sisi tulikuwa na lengo la kuzuia uchaguzi. Na tulifanikiwa kwa 100%. Idadi ya watu waliojitokeza kwenda kupiga kura ilikuwa ni wastani wa watu 17 kwa kila kituo. Hapo tulifanikiwa kuzuia uchaguzi au hatukufanikiwa.
Serekali iliyopo kwa sasa haina uhalali kutoka kwa wananchi. Hilo lipo wali kama ya Mbuzi.
Msilielie hatua zikichukuliwa na dola.
 
Ni ngumu sana kuwakwepesha uhusika wowote Chadema kwa vurugu za Oct 29.

Kauli mbiu zao, kuamua kutoshiriki uchaguzi hivyo ni viashiria vya wazi kwa uhusika wao ukiachana na mengineyo ambayo yanaweza kupatikana baada ya uchunguzi .
 
Watz tunalazimishwa kumkubali samuya, hiyo haitotokea...mnawasumbua buure policcm tu!.
Umma umemkataa!!!.
 
Haingii akilini makada wa CHADEMA kuweka namba za watu binafsi mtandaoni na kuhamasishana kuwatukana hao watu huku wakiendelea kupinga kutohusika na jaribio la mapinduzi October 29. Kijana unajisikiaje kuingia mtego wa kutumia simu yako na kuanza kuwatukana kina Mzee Chande na wenzake?

Sidhani kama kuna haja ya kuanza kuunda tume nyingine ya uchunguzi wakati wahusika wa October 29 wamejiweka hadharani. Kamata Heche, Hilda, Maria na wote waliotuma ujumbe na simu za matusi kwa wazee kisha fikisha mahakamani kwa jaribio la mapinduzi.

CHADEMA kwenye hili la kutukana watu mmekosea sana. Mtavuna mlichokipanda siku sio nyingi. Ninawaonea huruma sana vijana walioingia mtego wa kutukana watu. Wataozea jela.
Kuweka namba za wahalifu hadharani si kosa. Wao waseme ni wapi kura 31m zimetokea maana ndio sababu halisi ya kilichotokea 29 October.
 
Ni ngumu sana kuwakwepesha uhusika wowote Chadema kwa vurugu za Oct 29.

Kauli mbiu zao, kuamua kutoshiriki uchaguzi hivyo ni viashiria vya wazi kwa uhusika wao ukiachana na mengineyo ambayo yanaweza kupatikana baada ya uchunguzi .
Kutoshiriki uchaguzi wa kihuni ni kosa?
 
Ww ni lijinga km ujui bas wacha tukusaidie hao wajinga wenzako wametumia zaidi ya miez 3 kufanya maojiano na kuandaa ripoti na ktk miez iyo yote wametumia mamilioni ya pesa ambazo ni kodi za watanzania afu mwisho wa sku wanaleta ripoti isiyo na kichwa wala miguu,

Katika ripoti taalifa muhimu km idadi ya vifo imekosewa sasa unajiuliza muda wote huo na pesa zote izo walizotumia walishindwa ata kuandaa taarifa sahihi

Wacha watukane maana wanaona watanzania km watu wajinga na mafala yan umetumia mamilion ya kodi za watanzania kuandaa ripoti isiyo na maana yyte kwa jamii
 
Mtuambie kwanza wale walioonekana hadharani wakiteka watu, kupiga risasi, na kupoteza maisha ya akina Ali Kibao wako gereza gani?

Usituletee priorities za kijinga hapa.
 
Back
Top Bottom