Mnaweka namba za watu hadharani mkihamasisha watukanwe ila mnakana kuhusika na jaribio la mapinduzi Oktoba 29

Kuweka namba za wahalifu hadharani si kosa. Wao waseme ni wapi kura 31m zimetokea maana ndio sababu halisi ya kilichotokea 29 October.
Haya maelezo kayatoe kuwatetea waliokamatwa hadi sasa hivi.
 
Haingii akilini makada wa CHADEMA kuweka namba za watu binafsi mtandaoni na kuhamasishana kuwatukana hao watu huku wakiendelea kupinga kutohusika na jaribio la mapinduzi October 29. Kijana unajisikiaje kuingia mtego wa kutumia simu yako na kuanza kuwatukana kina Mzee Chande na wenzake?

Sidhani kama kuna haja ya kuanza kuunda tume nyingine ya uchunguzi wakati wahusika wa October 29 wamejiweka hadharani. Kamata Heche, Hilda, Maria na wote waliotuma ujumbe na simu za matusi kwa wazee kisha fikisha mahakamani kwa jaribio la mapinduzi.

CHADEMA kwenye hili la kutukana watu mmekosea sana. Mtavuna mlichokipanda siku sio nyingi. Ninawaonea huruma sana vijana walioingia mtego wa kutukana watu. Wataozea jela.
Weka Ushahidi wa pasipo na shaka ikiwezekana screenshot Hilo bandiko kuthibitisha hoja Yako.

NB Quote from baba WA TAIFA J.NYERERE "" Mtu akikushaur kufanya jambo la kijinga..na wewe unajua kabisa jambo ILO ni lakijinga lakini ukalifanya Hilo jambo la kijinga basi mtu huyo ata kudharau na kukuona kua wewe ni mjinga wa kutupa""
 
Mi ninachojua CHADEMA sio chama cha siasa tena bali ni chama cha matusi, yani ajulikani kiongozi wala mfuasi wote ni mwendo wa matusi tu.
 
Maandamano ya Oktoba 29 hayakuwa ya chama chochote cha kisiasa, wapeni credits zao Gen Z. Full stop
 
Weka Ushahidi wa pasipo na shaka ikiwezekana screenshot Hilo bandiko kuthibitisha hoja Yako.

NB Quote from baba WA TAIFA J.NYERERE "" Mtu akikushaur kufanya jambo la kijinga..na wewe unajua kabisa jambo ILO ni lakijinga lakini ukalifanya Hilo jambo la kijinga basi mtu huyo ata kudharau na kukuona kua wewe ni mjinga wa kutupa""
Huu udokta wako uliupata kihalali au ulivuliwa chupi kwanza?
 
Opinions zako siku zote ni za kijinga jinga sanaa...kama ujinga ungeuzwa, hakika ungekuwa billionaire....

Halafu,
Brain yako ina buffering kuliko mtandao wa kijijini...

NB. Hata ukijitetea vipi, bado umeandika ujinga... Mama SAMIA wa KIUME.
 
Haingii akilini makada wa CHADEMA kuweka namba za watu binafsi mtandaoni na kuhamasishana kuwatukana hao watu huku wakiendelea kupinga kutohusika na jaribio la mapinduzi October 29. Kijana unajisikiaje kuingia mtego wa kutumia simu yako na kuanza kuwatukana kina Mzee Chande na wenzake?

Sidhani kama kuna haja ya kuanza kuunda tume nyingine ya uchunguzi wakati wahusika wa October 29 wamejiweka hadharani. Kamata Heche, Hilda, Maria na wote waliotuma ujumbe na simu za matusi kwa wazee kisha fikisha mahakamani kwa jaribio la mapinduzi.

CHADEMA kwenye hili la kutukana watu mmekosea sana. Mtavuna mlichokipanda siku sio nyingi. Ninawaonea huruma sana vijana walioingia mtego wa kutukana watu. Wataozea jela.
kichwani umebakiza tope tuu
 
Damu za watananganyika zitawaua tu mamake zenu... Mpo madarakan ila hamjiamini kama vile mmekalia mkono wa sweta
 
Back
Top Bottom