Subiri walengaji walenge kwenye minada wanapofunguwq mabalo, halafu wewe ndio ununuwe kwa walengaji, wale wengi wao wanajuwa kuchaguo nguo na wanakupiga wewe usiyejuwa kuchaguwa cha juu.Habari zenu watanashati nina shida leo Naomba msaada hivi mnawezaje kuchagua nguo kwenye mtumba tena zile grade nzuri kabisa mbona mimi nimeshindwa kila nikinunua nguo mtumbani nikifika nyumbani naiona mbaya tena nikivaa hainipendezi kabisa
Naombeni muongozo nifanyaje nitumie mbinu gani kupata nguo nzuri mtumbani
Je kuna vigezo vyovyote mnavyotumia kupata nguo zinazowapendeza
Asante
Subiri walengaji walenge kwenye minada wanapofunguwq mabalo, halafu wewe ndio ununuwe kwa walengaji, wale wengi wao wanajuwa kuchaguo nguo na wanakupiga wewe usiyejuwa kuchaguwa cha juu.
Mfano nguo atanunuwa kwa 5000 wewe atakupiga Kwa 15,000/= hivyo yani.
Mwangaluka Ngosha
Unaendaga kununuwa wapi nikuunganishe waaminifu wawe wanakusaidia kupata nguo nzuri kwa bei nafuu? Ni Dar lakini.Hao walengaji wanauza ghali balaa unakuta gauni au trouser 25000 [emoji26]
Unaendaga kununuwa wapi nikuunganishe waaminifu wawe wanakusaidia kupata nguo nzuri kwa bei nafuu? Ni Dar lakini.
Nilidhani upo Dar, ungeenjoy mitumba classic first class for cheap price.Mimi Nipo Arusha na hua naenda kununua krokoni au moshi memorial
Ni sahih kbsa mm jirani na karume pale ila sijawi bahatisha nguo inayonifiti vzr ,wale jamaaa wanajuwa San kupoint nguoSubiri walengaji walenge kwenye minada wanapofunguwq mabalo, halafu wewe ndio ununuwe kwa walengaji, wale wengi wao wanajuwa kuchaguo nguo na wanakupiga wewe usiyejuwa kuchaguwa cha juu.
Mfano nguo atanunuwa kwa 5000 wewe atakupiga Kwa 15,000/= hivyo yani.
Nilidhani upo Dar, ungeenjoy mitumba classic first class for cheap price.
Tena wakishajuwa size yako zikitoka pamba Kali tu unarushiwa WhatsApp ukienda unaletewa nyumbani.
Binafsi huwa nakwenda madukani Mara chache sana, rafiki zangu wanaokwenda China na Uturuki wakija na mzigo nachaguwa kupitia Wasapu naletewa nyumbani, wanajuwa size yangu.
Ni mgawanyo tu wa riziki, division of labour.Ni sahih kbsa mm jirani na karume pale ila sijawi bahatisha nguo inayonifiti vzr ,wale jamaaa wanajuwa San kupoint nguo
Waaniletee that ambalo wao kule wamekamat kwa elf 500 had 4000 wakija kwangu wananingangania kwa elf 15000 mwisho 12 ila Ni Kali kweli
Hao wa Arusha, Congo, Zambia, Malawi wanachukuwa Dar.Huwezi kuniunga na wa Arusha
Hao wa Arusha, Congo, Zambia, Malawi wanachukuwa Dar.
Wewe unafanya biashara au shopping binafsi?
[emoji3][emoji3] Olen'eele sana nkoi, otena masalaMwangaluka Ngosha
Siku hizi sionagi nguo nzuri za grade.Ni sahih kbsa mm jirani na karume pale ila sijawi bahatisha nguo inayonifiti vzr ,wale jamaaa wanajuwa San kupoint nguo
Waaniletee that ambalo wao kule wamekamat kwa elf 500 had 4000 wakija kwangu wananingangania kwa elf 15000 mwisho 12 ila Ni Kali kweli
Maduka ya nguo mpya ni mengi, walengaji wana wateja wao maalum wanawapelekea huduma walipo.Siku hizi sionagi nguo nzuri za grade.
Nakumbuka kitambo...Manzese darajani kulikuwa na mashati ya mtumba makali balaa
Tusaidie kutuunganisha na huyu mtu mkuu,tupate huduma zake.Nilidhani upo Dar, ungeenjoy mitumba classic first class for cheap price.
Tena wakishajuwa size yako zikitoka pamba Kali tu unarushiwa WhatsApp ukiipenda unaletewa nyumbani.
Binafsi huwa nakwenda madukani Mara chache sana, rafiki zangu wanaokwenda China na Uturuki wakija na mzigo nachaguwa kupitia Wasapu naletewa nyumbani, wanajuwa size yangu.