Mnawezaje kununua nguo nzuri za mtumba?

Mnawezaje kununua nguo nzuri za mtumba?

lee jack

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
1,062
Reaction score
1,871
Habari zenu watanashati nina shida leo Naomba msaada hivi mnawezaje kuchagua nguo kwenye mtumba tena zile grade nzuri kabisa mbona mimi nimeshindwa kila nikinunua nguo mtumbani nikifika nyumbani naiona mbaya tena nikivaa hainipendezi kabisa

Naombeni muongozo nifanyaje nitumie mbinu gani kupata nguo nzuri mtumbani

Je, kuna vigezo vyovyote mnavyotumia kupata nguo zinazowapendeza

Asante
 
Habari zenu watanashati nina shida leo Naomba msaada hivi mnawezaje kuchagua nguo kwenye mtumba tena zile grade nzuri kabisa mbona mimi nimeshindwa kila nikinunua nguo mtumbani nikifika nyumbani naiona mbaya tena nikivaa hainipendezi kabisa

Naombeni muongozo nifanyaje nitumie mbinu gani kupata nguo nzuri mtumbani
Je kuna vigezo vyovyote mnavyotumia kupata nguo zinazowapendeza
Asante
Subiri walengaji walenge kwenye minada wanapofunguwq mabalo, halafu wewe ndio ununuwe kwa walengaji, wale wengi wao wanajuwa kuchaguo nguo na wanakupiga wewe usiyejuwa kuchaguwa cha juu.

Mfano nguo atanunuwa kwa 5000 wewe atakupiga Kwa 15,000/= hivyo yani.
 
Hao walengaji wanauza ghali balaa unakuta gauni au trouser 25000 [emoji26]
 
Mimi Nipo Arusha na hua naenda kununua krokoni au moshi memorial
Nilidhani upo Dar, ungeenjoy mitumba classic first class for cheap price.

Tena wakishajuwa size yako zikitoka pamba Kali tu unarushiwa WhatsApp ukiipenda unaletewa nyumbani.

Binafsi huwa nakwenda madukani Mara chache sana, rafiki zangu wanaokwenda China na Uturuki wakija na mzigo nachaguwa kupitia Wasapu naletewa nyumbani, wanajuwa size yangu.
 
Subiri walengaji walenge kwenye minada wanapofunguwq mabalo, halafu wewe ndio ununuwe kwa walengaji, wale wengi wao wanajuwa kuchaguo nguo na wanakupiga wewe usiyejuwa kuchaguwa cha juu.

Mfano nguo atanunuwa kwa 5000 wewe atakupiga Kwa 15,000/= hivyo yani.
Ni sahih kbsa mm jirani na karume pale ila sijawi bahatisha nguo inayonifiti vzr ,wale jamaaa wanajuwa San kupoint nguo

Waaniletee that ambalo wao kule wamekamat kwa elf 500 had 4000 wakija kwangu wananingangania kwa elf 15000 mwisho 12 ila Ni Kali kweli
 
Nilidhani upo Dar, ungeenjoy mitumba classic first class for cheap price.

Tena wakishajuwa size yako zikitoka pamba Kali tu unarushiwa WhatsApp ukienda unaletewa nyumbani.

Binafsi huwa nakwenda madukani Mara chache sana, rafiki zangu wanaokwenda China na Uturuki wakija na mzigo nachaguwa kupitia Wasapu naletewa nyumbani, wanajuwa size yangu.

Huwezi kuniunga na wa Arusha
 
Ni sahih kbsa mm jirani na karume pale ila sijawi bahatisha nguo inayonifiti vzr ,wale jamaaa wanajuwa San kupoint nguo

Waaniletee that ambalo wao kule wamekamat kwa elf 500 had 4000 wakija kwangu wananingangania kwa elf 15000 mwisho 12 ila Ni Kali kweli
Ni mgawanyo tu wa riziki, division of labour.
 
Ni sahih kbsa mm jirani na karume pale ila sijawi bahatisha nguo inayonifiti vzr ,wale jamaaa wanajuwa San kupoint nguo

Waaniletee that ambalo wao kule wamekamat kwa elf 500 had 4000 wakija kwangu wananingangania kwa elf 15000 mwisho 12 ila Ni Kali kweli
Siku hizi sionagi nguo nzuri za grade.
Nakumbuka kitambo...Manzese darajani kulikuwa na mashati ya mtumba makali balaa
 
Maduka ya nguo mpya ni mengi, walengaji wana wateja wao maalum wanawapelekea huduma walipo.

Tulipofika siyo kila mtoa huduma anashinda kwenye fremu kusubili wateja, wengine Sasa hivi wanapeleka huduma kwa wahitaji, pamba Kali zipo kama kawaida, inatakiwa uwe na mtu anayejuwa mapigo yako wewe huangaiki kutafuta mzigo mpya, akipata pigo zako unapigiwa simu unarushiwa Wasapu.
 
Nguo zipo tena kali tu kwa kuanzia nampa tano fredy mitumba yuko twitter goli lake liko kahama namkubali sana mwamba nguo ziko izuri
 
Nilidhani upo Dar, ungeenjoy mitumba classic first class for cheap price.

Tena wakishajuwa size yako zikitoka pamba Kali tu unarushiwa WhatsApp ukiipenda unaletewa nyumbani.

Binafsi huwa nakwenda madukani Mara chache sana, rafiki zangu wanaokwenda China na Uturuki wakija na mzigo nachaguwa kupitia Wasapu naletewa nyumbani, wanajuwa size yangu.
Tusaidie kutuunganisha na huyu mtu mkuu,tupate huduma zake.
 
Back
Top Bottom