Mnayasababisha wenyewe halafu mnalalamika

I like this MastaKiraka unatendea haki jina 🤣🤣🤣
 
Mkuu wanawake wakiacha kuomba hela ndiyo mtawaoa mapema siyo
 
Mkuu kiukweli walioanza uhuni ni wanaume yani wanaume ndio walianza kukosa mapenzi ya dhati kisha wanawake wakaamua kutambaa na beat

By the way wanaume kuwadharau wanawake hamjaanza leo mlianza tangu enzi za mababu wala msisingizie kwamba pesa ndio sababu yani ninyi huwa mnawadharau wanawake naturally tu

Yani tofauti ni kwamba tu zamani mlikuwa mnawadharau wanawake bure ila siku hizi mnawadharau kwa gharama yani wameona walau nao waambulie chochote kitu kuliko kudharaulika bure tu
 
Wanaume hatususi ngono. Ila naamini wapo wanawake inaowalazimu kulipia ili wapate hiyo huduma.
Wanawake wengi wanaolipia ni wale 'wabovu' kwa mujibu wenu
 
Halafu kuna ile ya kuambiwa naumwa. Huo ni mtego ukijifanya unajua kucare utaambiwa kaandikiwa dawa za elfu 35 ila yeye ana elfu 10 tu na hajui atafanya nini [emoji23][emoji23][emoji23]

IL wanawake [emoji119]
Hii imenitokea dakika chache zilizopita[emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…