Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Ujumbe kwenye picha unahusika sana....
Wanaume mmekuwa mkilaani sana kuombwa mahitaji baada ya muda mfupi baada ya kumuelewa mwanamke wa kitanzania.
Sasa wewe tumekutana leo leo halafu unaniambia umenielewa ...nikiuliza umenielewaje unajibu unataka mzigo.... Huku na huku tunachat mara paaaap unataka uone punanii
Sasa mbona wewe umeenda resi kwenye kutaka mzigo....na mimi nikikuomba kwa roho safii unisaidie nilipokwama ni vibaya?
Mkitaka msiombwe hela siku hiyo hiyo au kutwishwa matatizo ya wanawake jaman na nyie muwe na subra ya kuomba K au picha ya K baada ya miezi japo mitatu.
Hapo tutaenda sawa.