Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni gharama kuwapata mafundi wazuri, kama kawaida yetu tunapenda urahisi ila inatugharimu baadae. Kimuonekano ni nzuri.Nawazaga kwanini wasiyakinge huko juu na kufuga samaki kuliko kuaacha yaingie ndani ila ni nyumba nazikubali sana ukipata mtaalamu mzuri achana na mafundi hawa wapiga ramli
😂 kashafanya yakeFUNDI MAIKO HUYO.
Tatizo kubwa ni mafundi lakini tatizo kubwa zaidi nadhani ni wenye nyumba. Kuna ile kauli yao we fundi bhana fanya uwezavyo nyumba iishe wapangaji waingie, na fundi nae kweli anafanya awezavyo.Hutumii gharama kubwa kwenye bati zinaenda chache
Halafu hii style niya toka zaman yaan tumezaliwa tumezikuta nyumba za hivyo
na nyumba haivuji
Baadhi ya Mafundi wa sasa ni midosho tu
Inawezekana linaepukika mbona kwa wenzetu zipo vizuriNaipenda hii aina ya ujenzi....vipi kama kuna mafundi wazuri tatizo linaweza kuepukika? Its my dream house
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
AfadhaliInawezekana linaepukika mbona kwa wenzetu zipo vizuri
Hebu iweke hapa wengine hatuna tiktok
ukipata fundi mzuri akajenga vizuriZinasaidia kupunguza gharama.
Mafundi wetu mtaani wengi ni wale hawashindwagi kitu hata kama hana ufaham nacho matokeo yake wanaharibu kazi.
Kweli hapo pia ni changamoto unakuta mwenyenyumba kalazimisha ujenzi hana material ya kutosha😂 kashafanya yake
Tatizo kubwa ni mafundi lakini tatizo kubwa zaidi nadhani ni wenye nyumba. Kuna ile kauli yao we fundi bhana fanya uwezavyo nyumba iishe wapangaji waingie, na fundi nae kweli anafanya awezavyo.
Hapo ni hasara tupu, unakwepa gharama huku unakutana nayo huku
Upo sahihi kabisa hilo nimewahi liexperiencekweli hapo pia ni changamoto unakuta mwenyenyumba kalazimisha ujenzi hana material ya kutosha
Alafu akute ni fundi maiko anaambiwa hivyo nyumba lazima ivuje
Tofauti na hapo ni majanga.ukipata fundi mzuri akajenga vizuri
Hii style huku kwetu zamani tulikuwa tunaiita maputoHutumii gharama kubwa kwenye bati zinaenda chache
Halafu hii style niya toka zaman yaan tumezaliwa tumezikuta nyumba za hivyo
na nyumba haivuji
Baadhi ya Mafundi wa sasa ni midosho tu