Mnazipendea nini hidden roof house?

Mnazipendea nini hidden roof house?

Nawazaga kwanini wasiyakinge huko juu na kufuga samaki kuliko kuaacha yaingie ndani ila ni nyumba nazikubali sana ukipata mtaalamu mzuri achana na mafundi hawa wapiga ramli
Tatizo ni gharama kuwapata mafundi wazuri, kama kawaida yetu tunapenda urahisi ila inatugharimu baadae. Kimuonekano ni nzuri.
 
FUNDI MAIKO HUYO.
😂 kashafanya yake
Hutumii gharama kubwa kwenye bati zinaenda chache
Halafu hii style niya toka zaman yaan tumezaliwa tumezikuta nyumba za hivyo
na nyumba haivuji
Baadhi ya Mafundi wa sasa ni midosho tu
Tatizo kubwa ni mafundi lakini tatizo kubwa zaidi nadhani ni wenye nyumba. Kuna ile kauli yao we fundi bhana fanya uwezavyo nyumba iishe wapangaji waingie, na fundi nae kweli anafanya awezavyo.
 
Kweli hapo pia ni changamoto unakuta mwenyenyumba kalazimisha ujenzi hana material ya kutosha
halafu akute ni fundi maiko anaambiwa hivyo nyumba lazima ivuje
 
Napendelea aina hii ya paa
IMG_2974.jpg
 
Back
Top Bottom