Mnazipendea nini hidden roof house?

Mnazipendea nini hidden roof house?

Naona wqnatandika majamvi na magunia juu halafu wanapaka rangi

Mbona nchi zingine zipo sana na mvua zinanyesha kama kwenu?
Ujanja ujanja mwingi waswahili ndio maana wanalalamika ooh kwanini eti usalama [emoji1] hawadhibiti bidhaa za Kenya

Wajerumani wanatengeneza nyumba kiwandani wewe wanakupalia kwenye meli au malori unakuja kufungiwa kila kitu
Kama unavyofungiwa boda.
Ah namuona jamaa kapanik
Hizo style za bat huon zimejaa kwa wachina huko na south america
 
Ni nyumba za kisasa lakini bado hatuna mafundi wazuri wa kuweza kuzifanya ziendane na hali zote, zimekuwa ni nyumba nzuri sana kipindi cha kiangazi, kipindi cha mvua nyingi ni majanga matupu zinavuja mno lakini bado watu wanajenga sana nyumba kwa mtindo huo ambao sio rafiki hasa kipindi cha mvua.

Kuna mwenye nyumba hapa kila ikinyesha mvua lazima umuone fundi kapanda juu ya bati(navyotype tayari kuna fundi juu ya bati) na wapangaji wake wanalalamika sana maji kuingia ndani na kulowanisha vitu. Kila akiendelea kujenga style ni hiyo hiyo lawama nyingi akiziangushia kwa mafundi wake.

Mafundi upi ushauri wenu juu ya hili?
Upi ni mtindo mzuri wa kupaua nyumba kwa mazingira ya huku kwetu na aina ya mafundi tulionao mitaani?
View attachment 2805821
Nyumba ya aina hii usijenge kama una hela ya mawazo...... utanishukuru
 
Sio kila fundi aweza kujenga contemporary, ubahili wenu ndio unawafikisha hapo.

Fundi hajui hata kuna kitu kinaitwa DUCT...mnaishia kuwekewa mabombavya inch 4 eti yavune maji yote?

1. Hakuna duct ya kushusha maji
2. Slop ndogo
3. Hakuna mfereji mkubwa wa kuvuna maji
4. Ukutani kwenye maungio hskuna bitumen maalum

Unategemea isivuje?
ephen_
Yaani umeongea maneno ya kiufundi mpaka mimi nimstameza kuna sehemu wanajenga nimepita nikamuuliza fundi vipi hapo ushaweka duct au bado?

Ameishia kunitolea macho mimi ninayemuuliza hata mie sielewi ila kikubwa wajue na mimi najua kidogo mambo ya ufundi .
 
Ni nyumba za kisasa lakini bado hatuna mafundi wazuri wa kuweza kuzifanya ziendane na hali zote, zimekuwa ni nyumba nzuri sana kipindi cha kiangazi, kipindi cha mvua nyingi ni majanga matupu zinavuja mno lakini bado watu wanajenga sana nyumba kwa mtindo huo ambao sio rafiki hasa kipindi cha mvua.

Kuna mwenye nyumba hapa kila ikinyesha mvua lazima umuone fundi kapanda juu ya bati(navyotype tayari kuna fundi juu ya bati) na wapangaji wake wanalalamika sana maji kuingia ndani na kulowanisha vitu. Kila akiendelea kujenga style ni hiyo hiyo lawama nyingi akiziangushia kwa mafundi wake.

Mafundi upi ushauri wenu juu ya hili?
Upi ni mtindo mzuri wa kupaua nyumba kwa mazingira ya huku kwetu na aina ya mafundi tulionao mitaani?
View attachment 2805821
Hao hawaweki zege badala yake wanatumia mabati ndio maana zinavuja
 
ukipata fundi mzuri na vifaa sahihi haiwezekani nyumba kuvuja
d2912c7a362b5d6307d51235692e2419.jpg
04f37d645189cfe0640b3783fd868409.jpg
3a5ec0fce54f305c6a71041560aeba00.jpg
 
Huu uzi ni kama umenilenga mimi,lakini kwa kua ulikua ujenzi wangu wa Kwanza sijilaumu nimejifunza.

Lakini Kamwe sitojenga Dream House nifanye Hidden Roof, ukweli ni heri umwage Slab huko juuu kama wewe shida ni hutaki kuona BATI.

Lakini kujenga hidden roof tusidanganyane hizi nyumba za hivi si za kuishi mwanadamu ni special kwa wanyama wafugwao.

Aseee nimefumua Gypsum zote kwasababu zimeloa zimeshuka chini, hii hasara sitoisahau ila nimekoma na sirudiiii.

Hata uje uniambie wewe ni fundi uliebobea umesomea chuo bora duniani cha ufundi, Hunishawishi kuhusu Hidden Roof nikakuelewa.
Pole sana, pia asante kutusanua tuliokuwa na mawazo ya kujenga aina hiyo ya nyumba
 
Sio kila fundi aweza kujenga contemporary, ubahili wenu ndio unawafikisha hapo.

Fundi hajui hata kuna kitu kinaitwa DUCT...mnaishia kuwekewa mabombavya inch 4 eti yavune maji yote?

1. Hakuna duct ya kushusha maji
2. Slop ndogo
3. Hakuna mfereji mkubwa wa kuvuna maji
4. Ukutani kwenye maungio hskuna bitumen maalum

Unategemea isivuje?
ephen_
Mkuu kuwachamba watu sio fair. Ungesema hivyo ni vitu gani ili wadau waweze kuwachallenge mafundi na kufanya maamuzi sahihi
 
Hizi nyumba zinawatesa wengi sana,kuna nyumba moja nilipelekwa na dalali,yani mpaka nilimuonea huruma mwenye nyumba,ni nyumba kubwa vyumba 3,master bedroom safi,jiko,choo na stoo ndani,iko fenced na pavements za kutosha,lakini kila chumba ukiangalia juu gypsum zimelowana vibaya...
 
Back
Top Bottom