4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Sema uchelewaji mwingine nipale mamlaka zetu ,wamejikita kuzalau taarifa za KWENYE mitandao,utasikia tunasubili taarifa rasmi, alafu ni aibu Kama kuna kiongonzi wa nchi hii ukitoa Rais,pm, vice president kushindwa KWA siku ingia jf Hata Mara tatu,Yet wangechelewa aisee na uhakika Bukoba kuna vikosi vya jeshi na zimamoto ila pengine not specialized kwenye maji
Hili jukwaa watapata Mambo mengi, mfano taarifa ya ndege imefika mapema Hata kabla Chalamila ajawasha li v8 KWENDA KWENYE majukum yake ya KILA siku,
Nasema Kuna majukwaa jf ata wabunge waccm wakiwa wanayapitia watapata elimu ya kutosha na kuacha piga makofi kwa kila Jambo.
Wakikutana na kingereza kigum bado yupo mzee wa kutema yai Dr Msukuma(Mbunge) atatafasili