Mngeomba msaada kwa CDF, angewapa makomando, wangeonyesha uwezo wao na kuokoa wahanga wa ajali ya ndege

Yet wangechelewa aisee na uhakika Bukoba kuna vikosi vya jeshi na zimamoto ila pengine not specialized kwenye maji
Sema uchelewaji mwingine nipale mamlaka zetu ,wamejikita kuzalau taarifa za KWENYE mitandao,utasikia tunasubili taarifa rasmi, alafu ni aibu Kama kuna kiongonzi wa nchi hii ukitoa Rais,pm, vice president kushindwa KWA siku ingia jf Hata Mara tatu,

Hili jukwaa watapata Mambo mengi, mfano taarifa ya ndege imefika mapema Hata kabla Chalamila ajawasha li v8 KWENDA KWENYE majukum yake ya KILA siku,

Nasema Kuna majukwaa jf ata wabunge waccm wakiwa wanayapitia watapata elimu ya kutosha na kuacha piga makofi kwa kila Jambo.

Wakikutana na kingereza kigum bado yupo mzee wa kutema yai Dr Msukuma(Mbunge) atatafasili
 
Nampa pole Waziri MKUU na Rais

KWA fedheha na aibu tulioipata kama Taifa kwenye hii ajali ya ndege, mengi yameandikwa lakini NIMEONA niwape mbadala kwa siku za mbeleni kama yakitokea kama Hayo tulioyaona...
Angemuomba? Jeshini kuna amri tu,kwa upande mwingine unasema jeshi kushiriki ni mpaka (waombwe)?
 
Kama walishindwa ku handle situation!wangeomba tu msaada!wale jamaa wapo fasta Sana KWENYE mambo yao!!
Narudia kwa msisitizo jeshini hawaombi wanaamrisha,Unataka kusema ajali ikitokea au dharura watasubiri mpaka waombwe?
 
Usi-overrate,ile ajali kila mtu alikua anahitajika kutoa msaada,na ilikua open Kwa chombo chochote kutoa msaada.Ulivyoona ndiyo uhalisia.
 
Jeshi letu ni imara swali ni kwamba wamewezeshwa kwenye zana na kimbinu za majanga kama ajali?

Kila maonyesho ya Siku za Uhuru huwa tunaona ndegevita na helicopter nyingi zikipita,je hakukuwa na umuhimu wa kuwabeba wabobezi wa Navy na kuwawahisha eneo la tukio? Badala yake tukaridhika na kasi ya uokoaji wa wananchi wa kawaida??
 
Ina maana na victoria kj hawapo !?wakati ndio ENEO la maafa makubwa NCHINI!!?
Sasa unaanzisha mada inayokuzidi upeo unategemea nini. Unadhani kila komandoo anazama majini kuokoa watu? Unajua hao divers wa Navy wako kambi gani na wangetumia masaa mangapi kufika Bukoba?
 
Sasa unaanzisha mada inayokuzidi upeo unategemea nini. Unadhani kila komandoo anazama majini kuokoa watu? Unajua hao divers wa Navy wako kambi gani na wangetumia masaa mangapi kufika Bukoba?
Kama haipo Basi iwepo ndio maana jukwaa hiki ni la kujifunza Mengi!!

Ziwa victoria ni ziwa la ajali nyingi kihistoria kulipaswa iwepo victoria kj mahsusi kwa hayo!
 
Makomandoo wale wanaovunja matofali kwa kichwa , au ?

 
Kama haipo Basi iwepo ndio maana jukwaa hiki ni la kujifunza Mengi!!

Ziwa victoria ni ziwa la ajali nyingi kihistoria kulipaswa iwepo victoria kj mahsusi kwa hayo!
Na mbona unasema Waziri Mkuu amuombe CDF. Kwani serikali huwa inaliomba jeshi, hata jeshi lenyewe linajua kabisa halipo kwa ajili ya kuombwa na kubembelezwa
 
Kwenye kesi YA Mbowe Kuna Yule luten Urio komandoo nilimsikia akisema Kuna kikosi kinaitwa QRU yaan Quick Response Unit nadhan huwa wanaenda popote wanapohitajika kunapotokea dharura.
 

Jifunze kwanza scope ya Sf . Si kila tatizo wanahusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…