Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kuna wenyeviti wapuuzi sana. Wanachagua tu ndugu zao na watu wao wakaribu kupata lift ya kupelekwa uwanjani kumsikiliza mheshimiwa. Wanafanya kama ni suala la kifamilia.
Ni bora ijulikane vitajwe vituo ambavyo mabasi na malory yatakuwa yanatusomba. Wote tunapenda tukapate nafasi ya kubadili hata mlo na kupata vinywaji. Kishimba hujasema magari yatakuwa wapi. Musukuma na mabasi yako unajiuma uma tu unaulizwa utatoa mangapi unasema wawasiliane na watu wa magari. Sisi wa pembezoni mwa mji mtatufikia saa ngapi?