Mngetaja humu sehemu ambazo magari yatakuja kutuchukua. Tukamwone mama. Kila mtu ajue atapandia wapi kupelekwa Uwanjani

Mngetaja humu sehemu ambazo magari yatakuja kutuchukua. Tukamwone mama. Kila mtu ajue atapandia wapi kupelekwa Uwanjani

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Kuna wenyeviti wapuuzi sana. Wanachagua tu ndugu zao na watu wao wakaribu kupata lift ya kupelekwa uwanjani kumsikiliza mheshimiwa. Wanafanya kama ni suala la kifamilia.

Ni bora ijulikane vitajwe vituo ambavyo mabasi na malory yatakuwa yanatusomba. Wote tunapenda tukapate nafasi ya kubadili hata mlo na kupata vinywaji. Kishimba hujasema magari yatakuwa wapi. Musukuma na mabasi yako unajiuma uma tu unaulizwa utatoa mangapi unasema wawasiliane na watu wa magari. Sisi wa pembezoni mwa mji mtatufikia saa ngapi?
 
Tulieni huko huko majumbanj,tumeshawabana watumishi wa umma na wanafunzi wanatosha. Nyie majobless ipo siku tutawakumbuka alisikika chawa mmoja
 
Wasiwasahau watoto wa shule 😂😂
 
Back
Top Bottom