Mniambie kama si roho mbaya kuvunja Bilicanas, basi ni nini?

Mniambie kama si roho mbaya kuvunja Bilicanas, basi ni nini?

Hilo lilikuwa jengo la NHC.

Mbowe alitaka kutumia janjajanja za kichagga kuripora huku akiambiwa kurudisha anaingiza siasa.
Kama hao NHC wanajenga nyumba na kuwauzia watu, kulikuwa na shida gani kumuuzia mbowe hilo eneo......ni kitu gani wame achieve ikiwa hilo eneo limetelekezwa na limepoteza hadhi yake iliyokuwepo, akili za kingese hizi....
 
Sasa kama alikataa kulipa kodi ya kulipanga hilo jengo kwa kisingizio kuwa kafanya ukarabati, huko kununua ndio angeweza.

Acheni kujificha nyuma ya siasa kufanya uzwazwa.

Ipo siku mtaua watu halafu mkikamatwa mtasema mnakamatwa kwasababu za kisiasa. Ndio maana hata uenyekiti hamtaki kuacha kwasababu ndio chaka lenu.
 
Hivi mnajua histolia ya hilo jengo .ukweli ni kwamba jengo hilo mzee ekaeli mbowe alipewa pole na baba wa taifa enzi hizooooo. Kwa ulefu wa habali zaid mtafuteni lipumba atawaaambia kwamba mbowe ndio mmliki halali wa hilo jengo amerithi kutoka kwa baba yake.
 
Roho mbaya..na ushamba juu!! Alifikiri anaikomoa familia ya Mbowe ili wampigie magoti.

Wenzake wameanza kuzishuka hela wakati yeye akiwa anaishi Burundi wakati mamake kaolewa huko na baba yake mrundi.
 
Hivi mnajua histolia ya hilo jengo .ukweli ni kwamba jengo hilo mzee ekaeli mbowe alipewa pole na baba wa taifa enzi hizooooo. Kwa ulefu wa habali zaid mtafuteni lipumba atawaaambia kwamba mbowe ndio mmliki halali wa hilo jengo amerithi kutoka kwa baba yake.
Mmmmh lipumba tutamtoa wapi sie, hebu tufafanulie ilikua pole ya nini hiyo?
 
Si mlikuwa mnamtukana Magufuli?

Si mlisema mama anaupiga mwingi na sasa ufipa mnapumua?

Season ya nyumbu migration imeanza rasmi
Kwani aliyetoa amri ya kivunja ni mama au magufuli,uliza kwanza usisambaze maneno itakuwa umbea tu
 
View attachment 1847044

Ukumbi huu ulikuwa mzuri na wa kiasi chake miaka hiyo.
Mara ikatoka amri kulivunja jengo, kupiti NHC na aliyetoa taamko ni Mchechu, Mkurugenzi Mkuu wake.

Jengo lilikuwa la kihistoria na Club Bilicanas ilikuwa yavuti hata watalii kw ajili cafe yake ya Hard Rock.
Nimepita hapo leo, ni parking ya vumbi tu na miaka inapita hakuna mpango wowote wa ujenzi, si NHC wala Serikaii.

Najiuiza, kama si roho mbaya ya aliyeagiza livunjwe jengo lile, sasa hiki kilikuwa nini?
Waliotoa amri ya kuvunja hakika waliendeshwa na roho mbaya na ndio maana hadi leo kuna mavumbi hamna chochote walichofanya mbwa hawa
 
Wewe una roho ya umsukule, anayekufuga huwa hakosei.
Mtu muovu hufulahia wenzake wapatapo matatizo na yote yanatokana na malezi uliyopitia.Kwa ufupi umetokea kwenye familia yenye umasikini mkubwa ndo Mana una roho mbaya tena ya kichawi,kwa hyo sikulaumu Sana Mana unakua kama unajiliwaza ili kusahau shida zako.pole Sana.
 
Back
Top Bottom