JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Dawa za kulevya zilikuwa hapo hatari sana.View attachment 1847044
Ukumbi huu ulikuwa mzuri na wa kiasi chake miaka hiyo.
Mara ikatoka amri kulivunja jengo, kupiti NHC na aliyetoa taamko ni Mchechu, Mkurugenzi Mkuu wake.
Jengo lilikuwa la kihistoria na Club Bilicanas ilikuwa yavuti hata watalii kw ajili cafe yake ya Hard Rock.
Nimepita hapo leo, ni parking ya vumbi tu na miaka inapita hakuna mpango wowote wa ujenzi, si NHC wala Serikaii.
Najiuiza, kama si roho mbaya ya aliyeagiza livunjwe jengo lile, sasa hiki kilikuwa nini?
Usione jiji limepoa na madawa ya kulevya ukazani ilikuwa Kazi ya kitoto.
