Dawa za kulevya zilikuwa hapo hatari sana.View attachment 1847044
Ukumbi huu ulikuwa mzuri na wa kiasi chake miaka hiyo.
Mara ikatoka amri kulivunja jengo, kupiti NHC na aliyetoa taamko ni Mchechu, Mkurugenzi Mkuu wake.
Jengo lilikuwa la kihistoria na Club Bilicanas ilikuwa yavuti hata watalii kw ajili cafe yake ya Hard Rock.
Nimepita hapo leo, ni parking ya vumbi tu na miaka inapita hakuna mpango wowote wa ujenzi, si NHC wala Serikaii.
Najiuiza, kama si roho mbaya ya aliyeagiza livunjwe jengo lile, sasa hiki kilikuwa nini?
Bora walijenge mkuu tupite apo tukitukana na kulitemea mate mamaaeeee jiweWalivyo wajinga wanajenga sanamu
OkaySi mlikuwa mnamtukana Magufuli?
Si mlisema mama anaupiga mwingi na sasa ufipa mnapumua?
Season ya nyumbu migration imeanza rasmi
Baada ya kumzuia mbowe mlipata faida gani? Tra imekusanya kodi ya biashara kiasi gani? Au ni zile sera za umaskini ... Heri tukose wote.. mlikuwa mnaendeleza??Majengo yote yaliyoko mjini kati hapa Dar na huko mikoani yalikuwa mali ya halali ya watanzania wenye asili ya Asia. Baada tamko la azimio la Arusha majengo yote yalitaifishwa na kuwa chini ya msajili wa majumba na hatimae yakawa chini ya NHC. Waasia waliambulia kuwa wapangaji kwenye majengo hayo hadi leo, lakini wengi walijiongeza na kuhamia UK na Canada ambazo wakati huo mtanzania aliweza kuingia bila viza akiwa na pesa zake za kutosha.
Baba yake Mbowe alikuwa na ukaribu fulani na mkuu wa nchi wa wakati huo JKN, ukaribu huo ulioonekana wazi mkuu huyo wa nchi alipotembelea mkoa wa Kilimanjaro.
Mzee Mbowe maarufu sana pale Machame alikuwa na biashara kadhaa ikiwemo ya mahoteli, Moshi na baadaye Dar es salaam.
Kwa wanaokumbuka miaka ya 80 kulikuwa na Mbowe Oceanic Hotels ambayo ilikuja kuwa habari kubwa ya mjini. Club Bilicanas nayo ilifunguliwa katika jengo la Serikali katika mazingira ya ujanja ujanja wakati huo Serikalini mipango ya kujuana na kulindana ikishamiri.
Inaelekea kuwa mmiliki au mwanzilishi wa Club Bilicanas alipoenda zake aliyerithi alianza kuwa na kibri na madharau na hivyo kutoka kwenye msingi wa makubaliano, kwenye awamu ya nne tayari kulikuwa na mgogoro kati ya Club Bilicanas na Serikali.
Awamu ya tano na Kasi iliyoanza nayo ilikuja tu kukazia maamuzi ambayo yaliishafanywa kwenye awamu ya nne. Ikumbukwe tu kuwa wakati huo NHC chini ya Mchechu ilikuwa na mipango ya kufa mtu... Kwa hivyo siyo kweli kuwa Mbowe alionewa na wala hakuwa mmiliki halali wa jengo lililobomolewa. Ila kumbu kumbu inabaki kuwa kwenye ujana wangu nilicheza sana Disco pale.
iView attachment 1847044
Ukumbi huu ulikuwa mzuri na wa kiasi chake miaka hiyo.
Mara ikatoka amri kulivunja jengo, kupiti NHC na aliyetoa taamko ni Mchechu, Mkurugenzi Mkuu wake.
Jengo lilikuwa la kihistoria na Club Bilicanas ilikuwa yavuti hata watalii kw ajili cafe yake ya Hard Rock.
Nimepita hapo leo, ni parking ya vumbi tu na miaka inapita hakuna mpango wowote wa ujenzi, si NHC wala Serikaii.
Najiuiza, kama si roho mbaya ya aliyeagiza livunjwe jengo lile, sasa hiki kilikuwa nini?i
alikuwa na roho mbaya sana,alikuwa hapendi kupata mwingine, yule sidhani Kama alikuwa Mtanzania, watanzania tuna roho mbaya,ila yeye alikuwa ana roho ya kishetani kabisa
Sasa jamaa yangu hasira zako unazihamishia kwangu kwa lipi?, mimi nahusika vipi na msala huo? Nimetoa fununu ya kile kilichokuwa kinaendelea ili asiyejua ajue, na Forum hii ndio mahala pake. 😳Baada ya kumzuia mbowe mlipata faida gani? Tra imekusanya kodi ya biashara kiasi gani? Au ni zile sera za umaskini ... Heri tukose wote.. mlikuwa mnaendeleza??
Yule mwendazake heartless bora amepumzishwa maana taifa lilikuwa poisoned
Hehehehehe!Mmmmh lipumba tutamtoa wapi sie, hebu tufafanulie ilikua pole ya nini hiyo?