muhuwesichimalamyasi
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 306
- 132
Poleni na majukumu ya kutwa mzima. Nilikuwa naomba maana ya mnikulu mkuu na huyo mnikulu pale Magogoni ana kazi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anashugulikia makazi ya rais.
nadhani ni mtu anahusika na kununua makochi nk hapo ikulu, wakati wa kikwete kuna mtu alikuwa na kazi hiyo ikulu akafukuzwa kwa wiziHabar zen wana JF!
Muda sio mreefu mkurugenzi wa mawasiliano ya ikulu bwana msigwa amechapisha walioteuliwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan (SASHA), miongoni walioteuliwa katika ofisi ya binafsi ya mh Rais ni Cheo cha 'Mnikulu'... Aya wale magwiji wa kiswahili mtutoe tongotongo sie darasa la nne B
Nini maana ya mnikulu, mnikulu inamaana gani!??
Sio kununua samani tu, bali ni muangalizi au msimamizi wa masuala yote ya ikulu hasa upande wa makazi ya rais na sio ofisini. Yaani mtunza nyumba (ikulu)nadhani ni mtu anahusika na kununua makochi nk hapo ikulu, wakati wa kikwete kuna mtu alikuwa na kazi hiyo ikulu akafukuzwa kwa wizi
jamaa kazi yake ilikuwa ni kununua furture zote za ikulu hadi ma carptet nk, mengine tuwasubiri wakuu kama wanajuwa zaidi
ahsante kwa ufafanuzi , mkuuSio kununua samani tu, bali ni muangalizi au msimamizi wa masuala yote ya ikulu hasa upande wa makazi ya rais na sio ofisini. Yaani mtunza nyumba (ikulu)
Sawa mjomba nimekusikiaHili neno ni neno la Kinyamwezi na hasa hasa chimbuko Lake ni Tabora.
Maana yake hasa ni Mtu anayehusika na mambo yoote ya ikulu hasahasa yanayomhusu rais.
Neno hili namengine kama Katikilo, Mtwale(watwale), Mwanangwa (wanangwa) haya yalitumika Sana nyakati za Mtemi Mirambo, Isike, Fundikila nk.
Huo ni uongo kwani yule aliyekuwa na kazi hiyo alikuwa binamu yake; alikuja ondolewa wakati ule ilisemekana yeye ndiye aliyebeba masandarusi ya fedha kutoka benki kwenda IKULU!!! Aliondolewa kuvuruga trail ya wizi uliohususha Ikulu ya Kikwete!!wakati wa kikwete kuna mtu alikuwa na kazi hiyo ikulu akafukuzwa kwa wizi
ooh, kumbe ni hivo mkuuHuo ni uongo kwani yule aliyekuwa na kazi hiyo alikuwa binamu yake; alikuja ondolewa wakati ule ilisemekana yeye ndiye aliyebeba masandarusi ya fedha kutoka benki kwenda IKULU!!! Aliondolewa kuvuruga trail ya wizi uliohususha Ikulu ya Kikwete!!