Mnikulu ni cheo gani na anashughulika na nini Ikulu?

Huyu mnikulu anatakiwa awe amesomea nini hasa! Na afike kiwango gani cha elimu?
 
Mnikulu unatakiwa uwe umesomea nini? Au uwe umesomea fani gani?
 
Huyu ni mkuu wa watumishi wote wa ikulu.Nguo ,chakula vya rais anapanga yeye ,wagen wote wa ikulu yeye ndo anahusika anaitwa statehouse controller
 
Anatakiwa kuwa na kiwango gani cha elimu? Katika fani gani?
 
Anatakiwa kuwa na kiwango gani cha elimu? Katika fani gani?
Kuhusu qualifications Sina uhakika sana ila alipaswa kuwa mtu mwenye uzoefu na mapokezi ya wageni na house keeping.

Ingefaa sana kwa mtu aliyesoma Real Estate/property Management, Hotel Management, Housekeeping and Leisure. Lakini kwa sababu ni mtu anayemhudumia Rais kwa ukaribu au undani zaidi huyu huwa knabaki kuwa mtu yeyote mwenye degree na kuendelea awe na uwezo mkubwa wa ufahamu wa shughuli za ikulu na mapokezi ya wageni kwa ukarimu.
 
Poleni na majukumu ya kutwa mzima. Nilikuwa naomba maana ya mnikulu mkuu na huyo mnikulu pale Magogoni ana kazi gani?
Valet (mnikulu) - a man's personal male attendant, who is responsible for his clothes and appearance.
 
Vile vile ni yule anaefua nguo zile eeeee.
Naomba niishie hapo
 
ACheni utani ni mtu anayeandaa speech za Rais
 
Naona Uzi umeunganishwa na ule wa 2015.
Ingawa haukuwa Na wachangiaji wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…