Mnikulu ni cheo gani na anashughulika na nini Ikulu?

Sio kununua samani tu, bali ni muangalizi au msimamizi wa masuala yote ya ikulu hasa upande wa makazi ya rais na sio ofisini. Yaani mtunza nyumba (ikulu)

Kwa kifupi ni Houseboy au House Girl?
 
Mnikulu yeye ndo boss wa ikulu kila kitu kinachohusu ikulu yeye ndo anahusika kujua Rais anakula nini,wageni wanaokuja,majengo ya ikulu yanahali gani, furniture yaani kwa kifupi yeye shughuli zote za ikulu ziko chini yake...!
 
Nijuavyo, kazi ya Mnikulu pamoja na Mambo mengine huyu ndiye designer wa mavazi ya Rais.

Huyu ndiye anajua leo Rais avaeje. Kwa nini hakuwa jinsia yake? Nipeni shule.
 
Nijuavyo, kazi ya Mnikulu pamoja na Mambo mengine huyu ndiye designer wa mavazi ya Rais.

Huyu ndiye anajua leo Rais avaeje. Kwa nini hakuwa jinsia yake? Nipeni shule.
Kwani designer wa Mavazi ya Kike wote ni Wanawake?
 
Hivi mnajua kuwa Diwan Athuman ndo aliteuliwa kuletwa hapa hiyo majuzi? Uenda ikawa kweli jamaa amekataa uteuzi aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…