Nakuelewa vizuri sana.
Utamaduni wa Ulaya unasema mke mmoja kwakuwa nchi nyingi za ulaya zimeadopt ukristo(mke mmoja)
Wanawake wanazaliwa zaidi kuliko wanaume sehemu nyingi duniani, hivyo wanawake wanapata changamoto ya kuwa na mwenza wa kudumu kuliko wanaume.
Ni jambo gumu kwa wanawake walio wengi kukubali hali hii, lakini mimi naamini Nature imeamua haya yote.
Naamini ni mpango wa MUNGU Muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo, na ni Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo,,,, ndiye ameratibu haya yote.
Ikiwa imani yako inakuonyesha jambo fulani ni dhambi,,,,basi jitahidi usifanye dhambi.