Mniombee Mungu anipe mume anayeweza hudumia wake wawili bila shida

Mniombee Mungu anipe mume anayeweza hudumia wake wawili bila shida

Harakati za ushimen[emoji16][emoji16][emoji16] toka wafunge jukwaa letu pendwa nakuona kwa nadra Jamvini
Walitukosea adabu sana...😕

Na huku napo pamekua na hekaheka nyingi baada ya kila mtoto kumiliki simu mpanguso..🤨
 
Yaani as days go tamaa angu ya kua wake wawili inaongezeka
Familia angu watu wa dini mi mwenyewe wa kusali sana kikanisa najua italeta shida
Japo moyoni mwangu NatAman sana nkiolewa tuwe wawili yaani NatAman isivo kawaida

Mniombee Mungu anipe mume anaeweza hudumia wake wawili bila shida
Niwe tu bimkubwa and then aongeze mwingine
Nyie mpaka nayaota ayo maisha

Dear future husband kokote uliko nakusubili na ukifika una ruhusa ya kuoa mwingine tuwe wawili tu
Andaa vijembe vya kumpiga mke mwenzio.
 
Yaani as days go tamaa angu ya kua wake wawili inaongezeka
Familia angu watu wa dini mi mwenyewe wa kusali sana kikanisa najua italeta shida
Niko hapa, njoo PM tuyajenge mama. Hata hivyo watu wa dini wanaielewa tofauti biblia yao. Hakuna Mahali popote mitaala imekatazwa, isipokuwa Kwa mtu anayetaka kazi ya uaskofu ndo ameelekezwa awe mtu wa mke Moja as a qualification Kwa kazi hiyo anayoitaka au kuiomba.
 
Kua wawili sio kuchoka
Baba angu mkubwa ana wake wawili I can say he's the happiest man on earth
Na wake zake wanapendana adi sio vzuri
Tofauti na the so called ndoa ya mke mmoja na mme mmoja
Ni the way we perceive things but my husband hatanioa peke angu tutakua wawili kanisa linisamehe
Fuata kile moyo unachopenda, maisha haya ni mafupi mno...soon utashangaa upo 40, mara 50..mara uzee so just enjoy vile unaona inafaa.
 
Usikute moyo wake una visehemu vitano, achana na vile vinne tulifundishwa shule
Mta mnanga bure na hayo maisha kayaona kwa baba ake mdogo yaka mvutia.

Dunia inakosa heshima yake kwa wanawake wengi kukosa ndoa
 
utakua una penda 3 some wewe hakuna cha zaidi
 
Yaani as days go tamaa angu ya kua wake wawili inaongezeka.

Familia angu watu wa dini mi mwenyewe wa kusali sana kikanisa najua italeta shida. Japo moyoni mwangu NatAman sana nkiolewa tuwe wawili yaani NatAman isivo kawaida.

Mniombee Mungu anipe mume anaeweza hudumia wake wawili bila shida. Niwe tu bimkubwa and then aongeze mwingine. Nyie mpaka nayaota ayo maisha.

Dear future husband kokote uliko nakusubili na ukifika una ruhusa ya kuoa mwingine tuwe wawili tu
Kwann utahitaji muwe wake wawili au kwenye show we mvivu Madam secretary jibu hili swali kwanza?
 
Yaani as days go tamaa angu ya kua wake wawili inaongezeka.

Familia angu watu wa dini mi mwenyewe wa kusali sana kikanisa najua italeta shida. Japo moyoni mwangu NatAman sana nkiolewa tuwe wawili yaani NatAman isivo kawaida.

Mniombee Mungu anipe mume anaeweza hudumia wake wawili bila shida. Niwe tu bimkubwa and then aongeze mwingine. Nyie mpaka nayaota ayo maisha.

Dear future husband kokote uliko nakusubili na ukifika una ruhusa ya kuoa mwingine tuwe wawili tu
Wanawake wawili siyo ishu kabsaaaa kwa mtizamo wangu Madam secretary
 
Watu mna roho njema.............kweli kila mtu ana jinsi ameumbwa, me nkutakie kila la heri. Yapasa uolewe ndoa ya kiislam sasa au sasa hv wakrsto mna uke wenza???​
 
Back
Top Bottom