Penologist
JF-Expert Member
- Feb 25, 2019
- 790
- 1,923
Una ID mbili?.Kua wawili sio kuchoka
Baba angu mkubwa ana wake wawili I can say he's the happiest man on earth
Na wake zake wanapendana adi sio vzuri
Tofauti na the so called ndoa ya mke mmoja na mme mmoja
Ni the way we perceive things but my husband hatanioa peke angu tutakua wawili kanisa linisamehe
Nimemtafutia jibu likawa kali sana nikampuuza umejieleza vizuri tuThat's according to you sweetheart sijawai kua mchepuko I'd rather stay single than kua mchepuko kila mtu anapackage ake
So relax
Yaani as days go tamaa angu ya kua wake wawili inaongezeka
Familia angu watu wa dini mi mwenyewe wa kusali sana kikanisa najua italeta shida
Japo moyoni mwangu NatAman sana nkiolewa tuwe wawili yaani NatAman isivo kawaida
Mniombee Mungu anipe mume anaeweza hudumia wake wawili bila shida
Niwe tu bimkubwa and then aongeze mwingine
Nyie mpaka nayaota ayo maisha
Dear future husband kokote uliko nakusubili na ukifika una ruhusa ya kuoa mwingine tuwe wawili tu
Nakuelewa vizuri sana.Yaani as days go tamaa angu ya kua wake wawili inaongezeka
Familia angu watu wa dini mi mwenyewe wa kusali sana kikanisa najua italeta shida
Japo moyoni mwangu NatAman sana nkiolewa tuwe wawili yaani NatAman isivo kawaida
Mniombee Mungu anipe mume anaeweza hudumia wake wawili bila shida
Niwe tu bimkubwa and then aongeze mwingine
Nyie mpaka nayaota ayo maisha
Dear future husband kokote uliko nakusubili na ukifika una ruhusa ya kuoa mwingine tuwe wawili tu
Utampata so soonYaani as days go tamaa angu ya kua wake wawili inaongezeka
Familia angu watu wa dini mi mwenyewe wa kusali sana kikanisa najua italeta shida
Japo moyoni mwangu NatAman sana nkiolewa tuwe wawili yaani NatAman isivo kawaida
Harakati za ushimen[emoji16][emoji16][emoji16] toka wafunge jukwaa letu pendwa nakuona kwa nadra JamviniDuhhhh....
Tangazo lako limechangamka sana..[emoji39] Ebu cheki PM hapo nishakutumia..[emoji847]
Cariha ktk ubora wako.Inaonyesha umejikatia tamaa na umekuwa mchepuko mda mrefu sana, there is still hope
Amina,Baba Mzee wa KanisaBible haijawahi kuongopa hata siku moja
Isa 4:1 SUV
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii cross unajipigia mwenyewe nimeielewa sana
Usiseme uongo huku ukitaja jina la MUNGU.Nakuelewa vizuri sana.
Utamaduni wa Ulaya unasema mke mmoja kwakuwa nchi nyingi za ulaya zimeadopt ukristo(mke mmoja)
Wanawake wanazaliwa zaidi kuliko wanaume sehemu nyingi duniani, hivyo wanawake wanapata changamoto ya kuwa na mwenza wa kudumu kuliko wanaume.
Ni jambo gumu kwa wanawake walio wengi kukubali hali hii, lakini mimi naamini Nature imeamua haya yote.
Naamini ni mpango wa MUNGU Muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo, na ni Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo,,,, ndiye ameratibu haya yote.
Ikiwa imani yako inakuonyesha jambo fulani ni dhambi,,,,basi jitahidi usifanye dhambi.
Hio kitaalamu inaitwa cross-member 😅Hii cross unajipigia mwenyewe nimeielewa sana
Umenena vizr hapo mana Ibrahim wake 2,Yakobo wake 4.Biblia ina mifano mizr sana. Wafia dini wanachukia wake wengi ila Biblia imetoa ruksa kuwa kuoa wake wengi sio dhambi.Nakuelewa vizuri sana.
Utamaduni wa Ulaya unasema mke mmoja kwakuwa nchi nyingi za ulaya zimeadopt ukristo(mke mmoja)
Wanawake wanazaliwa zaidi kuliko wanaume sehemu nyingi duniani, hivyo wanawake wanapata changamoto ya kuwa na mwenza wa kudumu kuliko wanaume.
Ni jambo gumu kwa wanawake walio wengi kukubali hali hii, lakini mimi naamini Nature imeamua haya yote.
Naamini ni mpango wa MUNGU Muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo, na ni Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo,,,, ndiye ameratibu haya yote.
Ikiwa imani yako inakuonyesha jambo fulani ni dhambi,,,,basi jitahidi usifanye dhambi.
AiseeeBible haijawahi kuongopa hata siku moja
Isa 4:1 SUV
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
OhooUna ID mbili?.
Kuna Dini ishaamua hili jambo mapema mnoo bcz inajua hali halisi ya dunia inavokwendaNakuelewa vizuri sana.