Mniombee Mungu anipe mume anayeweza hudumia wake wawili bila shida

Mta mnanga bure na hayo maisha kayaona kwa baba ake mdogo yaka mvutia.

Dunia inakosa heshima yake kwa wanawake wengi kukosa ndoa
Mi hata sijamnanga kaka, ni chaguo lake na inawezekana kabisa hayo maisha anayoyatamani.....
 
Happiness hailetwi na watu ni tunda la ndani sio watu au vitu
 
Nimemtafutia jibu likawa kali sana nikampuuza umejieleza vizuri tu

Hao ndo wale wenye chuki na imani za wenzao.
Sina chuki na dini yoyote hasa hizi za kuletwa na wazungu na waaarabu
 
Mniombee Mungu anipe mume anaeweza hudumia wake wawili bila shida. Niwe tu bimkubwa and then aongeze mwingine. Nyie mpaka nayaota ayo maisha.[emoji3064][emoji15]
 
Inaonyesha umejikatia tamaa na umekuwa mchepuko mda mrefu sana, there is still hope
Hapana hawa watu wapo.. Niliwahi kudate na binti mmoja miaka ya tisini alikuwa na matamanio kama haya .. Na aliniambia wazi nikimtaka mwanamke nimwambie NISIMFICHE! Naye alikuwa akimpenda dem ilikuwa ni lazima anitongozee na tukiwa faraghani naye awepo
Na kuna incidents mbili ziliwahi kutokea..
(True story)
 
Bible haijawahi kuongopa hata siku moja

Isa 4:1 SUV​

Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.

Peponi moja kwa moja kwa kukumbushia tu huu mstari pendwa.
 
Vipi nyumba na nyumba utataka muishi nyumba moja?, Au rafiki unapenda mambo ya 'threesome' ninii [emoji848][emoji848]
 

Hongera kwa kuisikiliza nafsi yako na kuitakia furaha

Japo huo uwezo wa huyo mwanaume kuhudumia wake wawili kama wake kwa mahitaji yote ndio changamoto; kwa wengi huduma itakayowezekana bila shida ni ile huduma ya kujamiianaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Maana wengi wa wanaume wanatamani kuwa na wanawake zaidi ya mmoja lakini hata kumhudumia huyo mmoja ni taabu; na kujihudumia wao wenyewe ni tatizo zaidi
 
Mkuu inawezekana ndio yeye[emoji28]
 
Ngoja nijitose PM manake wengine mijegejo yetu mke mmoja hatoshi kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…