Naona Leo umeamua kutugawa wazanzibari na watanganyika.
Anyways that's not my concern,
umetumia kipimo kipi kupima mafanikio ya Wanzanzibari?
Can you tell us more at the national level kuwa Zanzibar imeendelea kuliko Tanganyika?
Hii Tanganyika yetu imejengwa na wazanzibari?
MAELEZO ULIYOYATOA NI MAFANIKIO AT PERSONAL LEVEL AND NOT NATIONAL LEVEL.
Kweli hata wakimbiza mwenge ukimtoa yule kiongozi wao bwana sahihi gweraruma waliobaki waote ni wa zanzibar nasema wote na wanaongea kile chenyewe kabisa huna haja ya kuuliza kwenye hlo.