Mnisaidie: Ni ugonjwa gani naweza utumia kama excuse ya kuahirisha masomo nje ya nchi?

kweli life sio fear aisee watu wanaangaika kwenda abroad wewe unatafuta excuse ya kuto kwenda
 
Shule nitaenda, ila mipango haijakamilika mpaka mwakani nitakuwa tayari. Na wao wanaweza nipa nafasi kama tu nna strong health reasons.
Kiufupi mkuu hata sababu hii bado ni sababu ya kitoto sana na kuonesha namna gani haujitambui.

Kama unajua mipango haikukaa sawa kwa nini uliomba ?

Au ulijua hautapata ? Kama ulijua hatupata why uliomba si usingeomba tu ?

Kama mwaka huu haukuwa tayari why ulifanha maombi kwa kitu ambacho hauko tayari nacho ? Ndio kutokujielewa huko.

Mimi nakushauri achana na ngonjera zote za kiafrika na za kimasikini yaani ngonjera za kimasikini zinakuwa na excuses nyingi kama hizi zako,achana nazo.

Badala yake mkuu fanya kila uwezalo ni bora ukaacha familia inalala njaa ila safari uende hata kwa kukopa hela sehemu.

Ukifika huko utaweka sawa mambo ya nyumbani taratibu.

Kumbuka kwenye kupiga hatua hakunaga kitu kinachokuja perfect kabisa,kila fursa huja nusunusu huku ikiwa imekukuta na vikwazo vingi,so ukisikiliza vikwazo utaacha fursa na mwishowe utabakia hapohapo ulipo katika maisha yako.

Take action,time is ticking.
 
Kama una sababu ya msingi wape hy sababu na ndio itakuwa vzr, ila kama huna sababu ya msingi B nenda tuu.

Anyway, em Tupe ukweli wa jambo linalokufanya ushindwe kwenda.
 
Nimeitikia wito, lakini mimi siyo daktari wa binadamu.

Ila huyo jamaa anazinguwa, yeye ndio amefanya aplication, amekubaliwa excuse analeta JF, ndio maana wazungu wanatudharau sana hatuna plan.

Sasa wanaamini maroboti kwa kutumia akili mnemba ni bora kuliko kuwa na binadamu wajinga kama huyu.
Ni vema umekili kuwa wewe ni Daktari 'kishoka'. Hakuna daktari by profession anaweza andika matapishi uliyoandika hapa.
Dr Tale tale
Dr Msukuma
 
Kama una sababu ya msingi wape hy sababu na ndio itakuwa vzr, ila kama huna sababu ya msingi B nenda tuu.

Anyway, em Tupe ukweli wa jambo linalokufanya ushindwe kwenda.
Naomba usome vizuri sana maelezo yangu utaelewa nahitaji ushauri wa ni ugonjwa gani nifeki basi. Lakini watu wanaojifanya smart wamejaza vitu haviusiani kabisa na mada.
 
Chuo chochote ukitaka kuahirisha masomo kwa sababu za ugonjwa sema unaumwa KICHWA hakuna Mkuu wa Chuo atakaekataa kusainisha barua yako ya postpone sababu Kichwa ndio engine yako Wewe uwapo kwenye Safari ya masomo
 
Nimepata nafasi ya kusoma chuo kikuu nchini Sweden.

Lakini mipango yangu ya kwenda huko nimeona ni vema niende mwakani 2025.

Chuo wanataka niwape reason ya kupostpone maana niliwaambia nna changamoto ya kiafya.

Naomba ushauri wako ni ugonjwa gani nikiuweka plus ushaidi wa daktari itakuwa rahisi kueleweka.

Niliwaza niweke nimefanyiwa surgery ya kibofu na recovery ni miezi mitatu. Lakini naona nipate mawazo ya watu wa afya ndio mnajua zaidi nini kina make sense. Pia isije kuwa disqualification kwenye masomo.
Mbona kama unapeleka uswahili wenu sweden...m bongo muongo muongoo..!!
 
Chuo chochote ukitaka kuahirisha masomo kwa sababu za ugonjwa sema unaumwa KICHWA hakuna Mkuu wa Chuo atakaekataa kusainisha barua yako ya postpone sababu Kichwa ndio engine yako Wewe uwapo kwenye Safari ya masomo
Mkuu ubarikiwe sana kwa huu ushauri ulionipa. Una make sense sana.
Ngoja nione vipi nautumia, kichwa chako kinafikiri vema sana.
 
Ukute unatunga uongo wote huu Ili tu uiridhishe mbususu flani ya demu ambayo inajifanya itakumisi sana usiende mwaka huu 😂
 
Nimepata nafasi ya kusoma chuo kikuu nchini Sweden.

Lakini mipango yangu ya kwenda huko nimeona ni vema niende mwakani 2025.

Chuo wanataka niwape reason ya kupostpone maana niliwaambia nna changamoto ya kiafya.

Naomba ushauri wako ni ugonjwa gani nikiuweka plus ushaidi wa daktari itakuwa rahisi kueleweka.

Niliwaza niweke nimefanyiwa surgery ya kibofu na recovery ni miezi mitatu. Lakini naona nipate mawazo ya watu wa afya ndio mnajua zaidi nini kina make sense. Pia isije kuwa disqualification kwenye masomo.
Hizi ndio hasara tupu
 
Chuo chochote ukitaka kuahirisha masomo kwa sababu za ugonjwa sema unaumwa KICHWA hakuna Mkuu wa Chuo atakaekataa kusainisha barua yako ya postpone sababu Kichwa ndio engine yako Wewe uwapo kwenye Safari ya masomo
Nafikiria kuweka 'Chronic migraine'.

Umenifungua mawazo, nakubali sana watu nonjudgmental na always wanatafuta solutions. That's maturity.
 
Nimepata nafasi ya kusoma chuo kikuu nchini Sweden.

Lakini mipango yangu ya kwenda huko nimeona ni vema niende mwakani 2025.

Chuo wanataka niwape reason ya kupostpone maana niliwaambia nna changamoto ya kiafya.

Naomba ushauri wako ni ugonjwa gani nikiuweka plus ushaidi wa daktari itakuwa rahisi kueleweka.

Niliwaza niweke nimefanyiwa surgery ya kibofu na recovery ni miezi mitatu. Lakini naona nipate mawazo ya watu wa afya ndio mnajua zaidi nini kina make sense. Pia isije kuwa disqualification kwenye masomo.
INASIKITISHA WALLAH
 
Npe connection mwakani twende wote
 
Back
Top Bottom