Mnisamehe wote niliowaona hamjitumi kazini hadi mnashindwa kumiliki magari na nyumba nzuri!

jonde

New Member
Joined
May 9, 2026
Posts
2
Reaction score
1
Zamani nilikuwa najua ukiajiriwa basi tayari unakuwa umetoboa kimaisha. Nikawa nikikutana na mtu ameajiriwa tena serikalini halafu anatembea kwa miguu basi namuona hayupo serious na maisha.

Wakati nipo chuo, nikajiapiza eti nikiajiriwa tu nitaanza na gari tena kali kisha nyumba. Lakini hadi sasa nipo nafanya kazi serikalini na Bado sina gari wala nyumba.

Nisameheni wote ambao niliwatazama kwa macho ya tofauti na kuwaona mnachezea mishahara yenu bila kuwekeza.

Muziki wenu naucheza sasa huku nalia na mshahara wangu usiotosha hata kununua tonge mbili wala pair za viatu.
 
Tumewekee biti la wimbo gani lisindikize haya mashairi yake...?😂
 
Zamani nilikuwa najua ukiajiriwa basi tayari unakuwa umetoboa kimaisha. Nikawa nikikutana na mtu ameajiriwa tena serikalini halafu anatembea kwa miguu basi namuona hayupo serious na maisha.

Wakati nipo chuo, nikajiapiza eti nikiajiriwa tu nitaanza na gari tena kali kisha nyumba. Lakini hadi sasa nipo nafanya kazi serikalini na Bado sina gari wala nyumba.

Nisameheni wote ambao niliwatazama kwa macho ya tofauti na kuwaona mnachezea mishahara yenu bila kuwekeza.

Muziki wenu naucheza sasa huku nalia na mshahara wangu usiotosha hata kununua tonge mbili wala pair za viatu.
Hakuna Boss muajiriwa.
 
Gentleman,
kua na gari au nyumba Tanzania ni uamuzi binafsi wa mtu mwenye, awe kazini au laa,

bidii, nidhamu ya kazi na matumizi ya fedha ndio msingi mkuu kwa mtu yeyote kua na gari au nyumba 🐒
 
Back
Top Bottom