Mnishauri, nahitaji kuacha ajira Serikalini ili nisimamie biashara zangu

Mkopo una bima, Bima italipa.
Sheria ya Bima:-
Ikitokea dhamana ya huo mkopo umepotea (no more) basi bima hulipa Bank.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Okay vipi nikiwa mtaan nataka kukopa ule mkopo wa biashara hawawezi kunizuia kwamba Kuna mkopo hukumaliza??? Maana naambiwa siku hiz ambao wanashindwa kulipa madeni Yao wanakuwa blocked na taasisi za kifedha , wakiingiza tu taarifa zako mfumo unasoma jamaa Kuna mkopo hajalipa unakuwa blocked mpaka ulipe , sijajua kuhusu hii ya utumishi
 
Hakuna atakayekushauri uache kazi hilo bomu unatakiwa ulivae wewe.watu wanaopa kulaumiwa badae
 
Inahitaji maamuzi magumu mzee kama unaingiza 2mil net profit kwa mwezi kwenye biashara zako acha tu baada ya mwaka au miaka miwili waweza kuta ushabalance uchumi wako unashindana na mo wa kariakoo
 
Mkopo una bima, Bima italipa.
Sheria ya Bima:-
Ikitokea dhamana ya huo mkopo umepotea (no more) basi bima hulipa Bank.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mkuu hapo kwenye Bima hapo, Naomba unifafanulie. Hii ipo kwa mikopo ya aina zote mtu akikopa Bank?
 
Hivi starlink ya Elon musk bongo Bado eeeh
Usiache kwanza kazi ulishakosea tangu mwanzo kutafuta kazi huku biashara ipo

Hiyo biashara yako ipo stage gani?
Jibu hilo swali tuone tunafanyaje
 
Ingelikuwa mimi ningeashaacha siku nyingi sana!
 
Omba likizo ya bila malipo hata kwa miaka 3 nenda kasimamie biashara zako,mambo yakigoma utarudi ajirani maana ajira yako itakuwa safe.Namfahamu mtu alishawahi kufanya hivi ninavyokwambia na yeye anaenda mwaka wa nne hayupo kazini ila mshahara wake unaingia wanaula wakubwa huko halmashauri
 
Aisee! Watanzania wajanja mno!!!
 
Sema Nina mkopo bank hivi watanipa hiyo likizo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…