Mniwie radhi nilikosea kusupport ujio mpya wa Paul Makonda, huyu jamaa ni Lopolopo sana hana staha

Me nahisi amerogwa,hawezi kutulia na kuwa sawa.

Ndo maneno gani yale anaonhea huyu?

Mama Samia ajue kuwa "mwana kulidownload mwana kuliplay"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…