'Mnyalu' wa UDSM: Muuza karatasi aliyetumia fursa

'Mnyalu' wa UDSM: Muuza karatasi aliyetumia fursa

Duuuh kwel aisee sie tulikua tunaonana nae theatre tu,college yetu alikua hapendi kuja ,mayb wadada walikua kidogo😂😂😂😂
Hahaaaa COET halikua hapendi sana alikua anapenda wa Udbs na college ya social sciences wadada ndo walikua wamemzoea sana.
 
Mnyalu huwa anapata hela hafu unachukua karatasi unaweka hela pale. Ile ni good idea yake sema huwa mwanausalama pale chuoni.

All in all wazo zuri sana hili sio hata kwa style ya mnyalu mtu unaweza uka create biashara simple kwa kuangalia sehemu ulipo na fursa zipi hazipo then unaanzisha mdogo mdogo. Kuna watu na wajua walianza na biashara ndogo sasa hvi wako mbali. Kikubwa ni kutokata tamaa na kuwa na vision.

mwaka jana mwanzoni nilienda pale nikakuta anauza soda na ana mafriji pale daruso sijui mpaka sasa
 
Hahaaaa COET halikua hapendi sana alikua anapenda wa Udbs na college ya social sciences wadada ndo walikua wamemzoea sana.

Kweli COet alikua haji my 4 yrs pale nimekutana nae 1&2 yr tu napo ni theatre coz kuna course tulikua tunasomea pale after hapo sijamuona tena hadi namaliza😊😊😊
 
elimu yako itakua imekusaidia nini si bora hyo ada ingewekwa?tusome tuelimike tufanye vitu kutokana na elimu yetu tuhudumie jamii
 
If you could be writting this twenty years ago ningekuelewa, not today.

Hadi sasa graduates bado wanaabudiwa japo sio kama miaka ya nyuma, kiukweli inabidi tukomae katika ujasiliamali vinginevyo tutabaki kuabudiwa na hela hatuna. Nimeajiriwa, pia ninafuga kuku wa kienyeji, pamoja na kumiliki gari lakini nina mkakati wa kununua pikipiki ili iniwezeshe katika ujasiliamali, potelea mbali watakavyonichukulia mimi nasonga mbele
 
Hahaaaa COET halikua hapendi sana alikua anapenda wa Udbs na college ya social sciences wadada ndo walikua wamemzoea sana.

Kwa miaka ya hivi karibun alikuwa anajiita mtotoa wa Chuo...
Ila tangu hii semister iliyoisha july 4 hakuwepo...
Chuo kiliwaondoa ondoa wafanya biashara wengi saana..walisema kwa ajili ya usalama salama...
We missed him...
Now days anaitwa mtoto wa chuo
 
elimu yako itakua imekusaidia nini si bora hyo ada ingewekwa?tusome tuelimike tufanye vitu kutokana na elimu yetu tuhudumie jamii

Naheshimu sana mawazo ya kila mtu lakini nadhani hukuelewa nilichokiandika. Kusoma kweli si kuelewa. Hebu rudi soma tena. Hapa hatusemi kuwa watu wasisome au wasitumie elimu zao ila tunaawaangazie wale waliosoma lakini bado hawana ajira za kile walichokisomea. Tunajaribu kuwapa plan b ili waweze kufika kwenye kile walichokikusudia.
 
Hadi sasa graduates bado wanaabudiwa japo sio kama miaka ya nyuma, kiukweli inabidi tukomae katika ujasiliamali vinginevyo tutabaki kuabudiwa na hela hatuna. Nimeajiriwa, pia ninafuga kuku wa kienyeji, pamoja na kumiliki gari lakini nina mkakati wa kununua pikipiki ili iniwezeshe katika ujasiliamali, potelea mbali watakavyonichukulia mimi nasonga mbele

Nchi hii ingekuwa na vijana wa type yako tungefika mbaki sana. Keep it up mkuu, sasa hivi acha wakuone kama "umechanganyikiwa" au "umepigika" ila mwisho wa siku watakusifu kuwa ni mpambanaji.
 
Anapata hela aisee nyingi tu kwa siku na siku hizi kuna lectures mpya za Yombo 4 na five zinaweza kuchukua wanafunzi zaidi ya elfu moja ndo kubwa kwa chuo. Hizo ndo maskani yake na anapata wateja mana hzo ndo lectures room kubwa zenye kutumiwa na wanafunzi wengi kwa wakati mmoja chuoni.

Taarifa njema hii. I wish nije nitembee siku moja. Enzi zetu ni nkurumah tu ndo kila kitu
 
Namkumbuka sana alikuwa mkarimu mwenye usela wa kisasa alikuwa anajifunga kitambaa kichwani alikuwa anauza zaidi ya rim NNE kwa siku
 
Kuna wakati anauza hadi rim 10 hasa wakati wa mitihani.
 
mwaka jana mwanzoni nilienda pale nikakuta anauza soda na ana mafriji pale daruso sijui mpaka sasa
Biashara yake ishakuwa kubwa... Hall 7 na 6 hamna kwenda kariakoo tena, kawafungukia kariakoo yao pale!!! Btw nilisikia amekula wadada wengi sana wa cass, nadhani kila contena lazima avute kadhaa lol....
 
Kuna yule jamaa pale cafteria one alikuwa anaeka box anauza pen na vitambaa yule ndo alikuwa soo kabisa, pen 400 kipindi cha mtahani sasa watu walivyokuwa wanagombania hadi noma
 
Hata mimi namkumbuka huyu mnyalu huwa anajua ratiba ya vipindi vyote vya chuo, na malecture room yote kwanzia coet hadi mayombo, kwahilo tu mi naona udsm wangempa degree ya heshima
 
Kwa miaka ya hivi karibun alikuwa anajiita mtotoa wa Chuo...
Ila tangu hii semister iliyoisha july 4 hakuwepo...
Chuo kiliwaondoa ondoa wafanya biashara wengi saana..walisema kwa ajili ya usalama salama...
We missed him...
Now days anaitwa mtoto wa chuo
Kumbe walishatimuliwa aisee ile yule licha ya kuuza karatasi pia alikua anauza cha Arusha
 
Kumbe walishatimuliwa aisee ile yule licha ya kuuza karatasi pia alikua anauza cha Arusha

Yeah tulimmis saana hii semester..yule alitupokea time ambapo tulikuwa tunaanza mwaka wa kwanza 2012 alikuwa pale yombo 4 na 5 lecture zikichelewa bhasi yeye ndio anapanda pale juu..
Ilikuwa raha saana
 
Taarifa njema hii. I wish nije nitembee siku moja. Enzi zetu ni nkurumah tu ndo kila kitu
Na. Nkurumah kudogo at least siku hizi watu wana space huko yombo hamna kubanana juu na chini wanachuo wana mfaidi lecturerer. Zilianza kutumika miaka hamsini ya Uhuru.
 
Biashara yake ishakuwa kubwa... Hall 7 na 6 hamna kwenda kariakoo tena, kawafungukia kariakoo yao pale!!! Btw nilisikia amekula wadada wengi sana wa cass, nadhani kila contena lazima avute kadhaa lol....
Dah na atakua kawala sana aisee mana wale ni easy target. Ila kama kaanzisha kariakoo yake kwenye hayo ma hall ni vzuri atakua anakula vichwa hadi kule kariakoo kutakua kumedoda.
 
Yeah tulimmis saana hii semester..yule alitupokea time ambapo tulikuwa tunaanza mwaka wa kwanza 2012 alikuwa pale yombo 4 na 5 lecture zikichelewa bhasi yeye ndio anapanda pale juu..
Ilikuwa raha saana
Dah kama kaondolewa nimesikitika sana hata sisi tukiwa first year alitupokea. Sijui anajishughulisha na nini tena aisee, ile yule ni fighter aisee.
 
Dah kama kaondolewa nimesikitika sana hata sisi tukiwa first year alitupokea. Sijui anajishughulisha na nini tena aisee, ile yule ni fighter aisee.

For the moment aliwahi kuniambia ameoa mke pande za msewe na pia alikuwa anajenga mwenyewe anait kageto..chumba na sebule..dah yule kweli fighter na anaweza kuish popote..
 
Back
Top Bottom