Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Hahaaaa COET halikua hapendi sana alikua anapenda wa Udbs na college ya social sciences wadada ndo walikua wamemzoea sana.Duuuh kwel aisee sie tulikua tunaonana nae theatre tu,college yetu alikua hapendi kuja ,mayb wadada walikua kidogo😂😂😂😂
Mnyalu huwa anapata hela hafu unachukua karatasi unaweka hela pale. Ile ni good idea yake sema huwa mwanausalama pale chuoni.
All in all wazo zuri sana hili sio hata kwa style ya mnyalu mtu unaweza uka create biashara simple kwa kuangalia sehemu ulipo na fursa zipi hazipo then unaanzisha mdogo mdogo. Kuna watu na wajua walianza na biashara ndogo sasa hvi wako mbali. Kikubwa ni kutokata tamaa na kuwa na vision.
Hahaaaa COET halikua hapendi sana alikua anapenda wa Udbs na college ya social sciences wadada ndo walikua wamemzoea sana.
If you could be writting this twenty years ago ningekuelewa, not today.
Hahaaaa COET halikua hapendi sana alikua anapenda wa Udbs na college ya social sciences wadada ndo walikua wamemzoea sana.
elimu yako itakua imekusaidia nini si bora hyo ada ingewekwa?tusome tuelimike tufanye vitu kutokana na elimu yetu tuhudumie jamii
Hadi sasa graduates bado wanaabudiwa japo sio kama miaka ya nyuma, kiukweli inabidi tukomae katika ujasiliamali vinginevyo tutabaki kuabudiwa na hela hatuna. Nimeajiriwa, pia ninafuga kuku wa kienyeji, pamoja na kumiliki gari lakini nina mkakati wa kununua pikipiki ili iniwezeshe katika ujasiliamali, potelea mbali watakavyonichukulia mimi nasonga mbele
Anapata hela aisee nyingi tu kwa siku na siku hizi kuna lectures mpya za Yombo 4 na five zinaweza kuchukua wanafunzi zaidi ya elfu moja ndo kubwa kwa chuo. Hizo ndo maskani yake na anapata wateja mana hzo ndo lectures room kubwa zenye kutumiwa na wanafunzi wengi kwa wakati mmoja chuoni.
Biashara yake ishakuwa kubwa... Hall 7 na 6 hamna kwenda kariakoo tena, kawafungukia kariakoo yao pale!!! Btw nilisikia amekula wadada wengi sana wa cass, nadhani kila contena lazima avute kadhaa lol....mwaka jana mwanzoni nilienda pale nikakuta anauza soda na ana mafriji pale daruso sijui mpaka sasa
Kumbe walishatimuliwa aisee ile yule licha ya kuuza karatasi pia alikua anauza cha ArushaKwa miaka ya hivi karibun alikuwa anajiita mtotoa wa Chuo...
Ila tangu hii semister iliyoisha july 4 hakuwepo...
Chuo kiliwaondoa ondoa wafanya biashara wengi saana..walisema kwa ajili ya usalama salama...
We missed him...
Now days anaitwa mtoto wa chuo
Kumbe walishatimuliwa aisee ile yule licha ya kuuza karatasi pia alikua anauza cha Arusha
Na. Nkurumah kudogo at least siku hizi watu wana space huko yombo hamna kubanana juu na chini wanachuo wana mfaidi lecturerer. Zilianza kutumika miaka hamsini ya Uhuru.Taarifa njema hii. I wish nije nitembee siku moja. Enzi zetu ni nkurumah tu ndo kila kitu
Dah na atakua kawala sana aisee mana wale ni easy target. Ila kama kaanzisha kariakoo yake kwenye hayo ma hall ni vzuri atakua anakula vichwa hadi kule kariakoo kutakua kumedoda.Biashara yake ishakuwa kubwa... Hall 7 na 6 hamna kwenda kariakoo tena, kawafungukia kariakoo yao pale!!! Btw nilisikia amekula wadada wengi sana wa cass, nadhani kila contena lazima avute kadhaa lol....
Dah kama kaondolewa nimesikitika sana hata sisi tukiwa first year alitupokea. Sijui anajishughulisha na nini tena aisee, ile yule ni fighter aisee.Yeah tulimmis saana hii semester..yule alitupokea time ambapo tulikuwa tunaanza mwaka wa kwanza 2012 alikuwa pale yombo 4 na 5 lecture zikichelewa bhasi yeye ndio anapanda pale juu..
Ilikuwa raha saana
Dah kama kaondolewa nimesikitika sana hata sisi tukiwa first year alitupokea. Sijui anajishughulisha na nini tena aisee, ile yule ni fighter aisee.