Mwanamayu Acheni marumbano, ajira ni bahati tu. kama mm nimeajiriwa na cheti nilikataa kwenda advernce kwa kuhofia kukuta kazi zimekabwa zote, bahati nilipo maliza tu mwaka mmoja mbele nikapata ajira, lakini nilianza kujuta kwa nini sikuendelea? lakini baada ya ajira nimeridhika na kajimshahara kangu, ingawa mpango wa kusoma upo bado