Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
Miaka million 150??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo bahati inakusaidia nini kama hakuna kunufaika na hivyo vitu?nyie watu wa ccm mmeharibu akili za watz na kujiona nyie pekee ndo wa kuabudiwaNajivunia kuwa Mtanzania ukifuatilia science kwa ukaribu utajua Tanzania ni chimbuko la viumbe vingi ikiwemo binadamu wa kwanza.
Tumebahatika sana kuzaliwa Tanzania we should be proud of this.
Usisahau na chimbuko la ufisadi na wauwaji albino. [emoji54] [emoji87]Najivunia kuwa Mtanzania ukifuatilia science kwa ukaribu utajua Tanzania ni chimbuko la viumbe vingi ikiwemo binadamu wa kwanza.
Tumebahatika sana kuzaliwa Tanzania we should be proud of this.
Ndo maana nikatoa rai kwa serikali na kama wewe una wazo bora pia la jinsi nchi iendelee toa mchango wako usilalamike tu.Hiyo bahati inakusaidia nini kama hakuna kunufaika na hivyo vitu?nyie watu wa ccm mmeharibu akili za watz na kujiona nyie pekee ndo wa kuabudiwa
yes mkuuMiaka million 150??
Waaafrika walio wengi ni watu wa kuitikia tuuu Na kuabudu iman za wazungu ndo maaana tunapelekwa pelekwa tuuu hata uwezo wa kufikili tunatgemea wazungu waboost pale fikra zilipoishia hatujiwezi kwa chochoteBlah blah blah...
Huyo mnyama kafikishaje miaka million na wakati dunia ina miaka 6000 tu?!Hizo dini za watu mnaabudishwa hamjui.
mkuu ulishawahi sikia kitu kinaitwa carbon dating au fossil records.Blah blah blah...
Huyo mnyama kafikishaje miaka million na wakati dunia ina miaka 6000 tu?!Hizo dini za watu mnaabudishwa hamjui.
hapana mkuu ni historia tu ndo imetuweka hapa tulipo lakini hao hao wazungu kuna kipindi washapitia haya.Waaafrika walio wengi ni watu wa kuitikia tuuu Na kuabudu iman za wazungu ndo maaana tunapelekwa pelekwa tuuu hata uwezo wa kufikili tunatgemea wazungu waboost pale fikra zilipoishia hatujiwezi kwa chochote
Najivunia kuwa Mtanzania ukifuatilia science kwa ukaribu utajua Tanzania ni chimbuko la viumbe vingi ikiwemo binadamu wa kwanza.
Tumebahatika sana kuzaliwa Tanzania we should be proud of this.
Fuatilia mkuu binadamu wa kwanza wameishi wapi kabla ya ku'migrate towards northNani kakudanganya binadamu WA kwanza katika Tanzania [emoji780]
Kichwa cha mangimeri hakijarudishwa,cjui na cha mkwawa kama kitakuwepoSifa za maneno matupu hazisaidii kitu. we need something tangible, or at least we should make profit out of this uniqueness, otherwise ni kujilisha upepo tu.
Mnyama mkubwa kuliko wote duniani ni blue whale (nyangumi wa bluu) ambae mkubwa kabisa aliyewahi kupatikana alikuwa na uzito wa tani 144..na ulimi wake ni sawa na uzito wa tembo mkubwa kabisa