Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,648
- 18,742
Hii serikali ya ccm bhana ni ngumu kumeza pengine walisha fuatilia na badala ya kuchukua mzingo wakachukua hela zilisha pigwa kimya kimya na nyingine kufadhili chama kwenye uchanguzi! Hii nchi ngumu kweli kuishi binadamu na wote wanaoishi tz siyo raia wa kawaida!