Mnyama Mkubwa Zaidi Aliyewahi Kuishi Duniani aligundulika Tanzania mkoa wa Lindi

Mnyama Mkubwa Zaidi Aliyewahi Kuishi Duniani aligundulika Tanzania mkoa wa Lindi

Habari za Jumapili Wakuu,

Kuna makala moja ya kisayansi nilikua naipitia leo na nikashangazwa kugundua kwamba mnyama mkubwa zaidi aliyewahi kuishi duniani anaitwa Giraffatitan.

Huyu mnyama aliishi jurrasic era takribani miaka milioni 150 iliyopita na inasemekana uzito wake ulikua unafika tonne 80 na urefu wake zaidi ya metre 20.

Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba huyu mnyama mabaki yake ikijumuisha fuvu lake yaligundulika Lindi, Tanzania kipindi cha utawala wa kikoloni wa wajerumani hapo mwaka 1909 na 1912.

Mabaki yake sasa yametundikwa Berlin, Ujerumani na yamekua ni kivutio kikubwa cha utalii nchini kule.

Kwanini sasa serikali na wizara inayohusika na utalii wasianzishe kampeni na mijadala ya mabaki ya mnyama huyu kurudishwa Tanzania kwasababu alichukuliwa kwa njia ambayo siyo halali.

India na nchi nyingine wameweza kupigania mali nyingi zilizoibwa kipindi cha ukoloni zirudishwe na zimerudishwa kwanini sasa Tanzania tusiige mfano.

Tanzania ikumbukwe ndo craddle of all civilization, binadamu wa kwanza wameishi hapa miaka milioni iliyopita na wanyama wenye super genes kama. huyu wameishi hapa pia. Ombi langu serikali ifanye jitihadi kurudisha mabaki ya huyu mnyama na wengine wengi. Itakuza utalii wa ndani na kurudisha sense of National Pride ya kujivunia kuwa Mtanzania.

Picha zake hizi hapaView attachment 349837
mnyama mkubwa kuliko wote duniani??!!!!! (tone 80) wakati nyangumi mtoto tu ana ulimi wenye uzito wa tone3...wakati huo huo nyangumi mkubwa ana kama tone 209 kwa wastani (blue whale)
 
Kwa nini serikali yetu wamekua wazembe hivo? Kwa nini tangu uhuru mjusi wetu hajarudishwa? Au kuna vikwazo gani vinavyofanya ishindikane?
 
R.I.P huyo mnyama ila kwa sasa mnyama amkubwa zaidi ni CCM huyu ni hatari zaidi.
 
Tanzania ndio ilikuwa Edeni ya Adam na Eva,na lile tunda walilila mji wa Tanga.Kunauthibitisho mwingi wa Tanzania kuwa ndio ilikuwa Edeni...Ukitaka somo zaidi Fanya utafiti mwenyewe
Aah wapi... Wote tungekua wazungu!
 
yani mabaki ya kiumbe kilichoish miaka milion 150 iliyopita yamepatikana? hebu tutumie akili ndogo tu jaman, thats impocble! hakuna nyama wala mfupa wenye uwezo huo.
 
Mnyama mkubwa zaidi Aliyewahi Kuishi Duniani Aaligunduklika 'LINDI TANZANIA'
1464172285266.jpg

Kuna makala moja ya kisayansi nilikua naipitia leo na nikashangazwa kugundua kwamba mnyama mkubwa zaidi aliyewahi kuishi duniani anaitwa Giraffatitan. Huyu mnyama aliishi jurrasic era takribani miaka milioni 150 iliyopita na inasemekana uzito wake ulikua unafika tonne 80 na urefu wake zaidi ya metre 20.

Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba huyu mnyama mabaki yake ikijumuisha fuvu lake yaligundulika Lindi, Tanzania kipindi cha utawala wa kikoloni wa wajerumani hapo mwaka 1909 na 1912.
Mabaki yake sasa yametundikwa Berlin, Ujerumani na yamekua ni kivutio kikubwa cha utalii nchini kule.

Kwanini sasa serikali na wizara inayohusika na utalii wasianzishe kampeni na mijadala ya mabaki ya mnyama huyu kurudishwa Tanzania kwasababu alichukuliwa kwa njia ambayo siyo halali.
India na nchi nyingine wameweza kupigania mali nyingi zilizoibwa kipindi cha ukoloni zirudishwe na zimerudishwa kwanini sasa Tanzania tusiige mfano.

Tanzania ikumbukwe ndo craddle of all civilization, binadamu wa kwanza wameishi hapa miaka milioni iliyopita na wanyama wenye super genes kama. huyu wameishi hapa pia. Ombi langu serikali ifanye jitihadi kurudisha mabaki ya huyu mnyama na wengine wengi. Itakuza utalii wa ndani na kurudisha sense of National Pride ya kujivunia kuwa Mtanzania.
 
Mkuu hili jambo ni jema kabisa sema nchi yetu hii viongozi wanahitaji kuamushwa bado wamelala ...
 
Nadhani walishajaribu ila wajermani wakasema usafirishaji wake utakua mgumu..mi napropose abaki ukouko bila tuwe tunagawana nusu ya mapato yake
 
nakumbuka mjadala huu uliibuliwa bungeni na aliyekuwa mbunge wa huko (alhaji .... aliyepata ajali akakatika mkono) likaishia kusemwa kuwa ni garama sana mchakato unaendelea mpaka leo, thank y uleliibua tena hapa yumkini likapata speed. good work buddy
 
Tuko kwa djmajizo na kwa mange kimambi n.a. lemutuz hehehe tukiepata mda tutakuja huyo mnyama hahaha wabongo raha sana hahaha
 
Dah ni ishu sensitive sana sema cjui wataichukuliaje Wagerman
By then It was German Ostafrika and now is Tanzania.Lazma watajifanya walikua superior..
 
Back
Top Bottom