hahahahahaha, umesema ukweli jameee, hapa hutaona watu kuchangia
Yap ni mjusi mkubwa "reptilies" na ni kwwli mjadala wake ulishawahi kujitokeza bungeni. Serikali ikiHuyu mjusi amejadiliwa sana bungeni lakini hakuna kinachoendelea..siju kuna hata senti tunapata
nyangumi ni mnyama sio samaki, ni mnyama anayeishi baharini, nenda shuleNyangumi ni samaki huko katajwa mnyama
Ni kweli kwanza kabla hilo fuvu halija fika sehemu husika linaweza kuibiwa uwanja wa ndege.hata akirudishwa tutashidwa kumtunza wanyama wetu tu hapa hatuwezi hata kuwarinda sebuse hilo fuvu wamuache tu huko tutakapokuwa teyar tumfuate tu...
Mkuu ni kweli Tz tuna nyangumi wenye uzito wa 140 tons?Mnyama mkubwa zaidi kuwahi kuishi duniani alikua na uzito wa tons 80?
Blue Whale(Nyangumi) wanafika uzito wa 140 tons still bado wapo, sasa ukubwa zaidi wa huyo mwenye tons 80 unatokea wapi?
Mnyama mkubwa zaidi kuwahi kuishi duniani alikua na uzito wa tons 80?
Blue Whale(Nyangumi) wanafika uzito wa 140 tons still bado wapo, sasa ukubwa zaidi wa huyo mwenye tons 80 unatokea wapi?
Shule sio baharini sema niende baharini mkuunyangumi ni mnyama sio samaki, ni mnyama anayeishi baharini, nenda shule
Nyangumi ni samaki?Nyangumi ni samaki huko katajwa mnyama
nchi kavuMnyama mkubwa zaidi kuwahi kuishi duniani alikua na uzito wa tons 80?
Blue Whale(Nyangumi) wanafika uzito wa 140 tons still bado wapo, sasa ukubwa zaidi wa huyo mwenye tons 80 unatokea wapi?