Mr Lukwaro
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 359
- 629
Na ni mnyama mtata sana,simba na wanyama walao nyama hupata shidw sana kwake,!View attachment 2775259
Nyegere
Nyegere anaaminika kuwa ndiye mnyama mwenye wivu kuliko wote. Muda wote dume hutembea nyuma ya jike, na endapo hata jani litamgusa jike, Nyegere dume hulirarua jani hilo.
Chakula kikuu cha mnyama huyo ni asali, kabla ya kuchukua asali huwalewesha nyuki walio katika mzinga na kisha huwatupa mbali kwa mkia wake.
Huyu ni Kiboko ya nyoka wote unaowajua hapa DunianiView attachment 2775259
Nyegere
Nyegere anaaminika kuwa ndiye mnyama mwenye wivu kuliko wote. Muda wote dume hutembea nyuma ya jike, na endapo hata jani litamgusa jike, Nyegere dume hulirarua jani hilo.
Chakula kikuu cha mnyama huyo ni asali, kabla ya kuchukua asali huwalewesha nyuki walio katika mzinga na kisha huwatupa mbali kwa mkia wake.
Siyo kweli. Mnyama mwenye wivu kuliko wote ni binadamu. Japo madume ya binadamu hawatembei nyuma ya majike yao kila saa lakini madume yanachukuwa majike na kuyaweka ndani ya nyumba na kusema yameoa na wamejiwekea sheria kuwa jike likikutwa na dume lisilo lake ndoa inaishia hapo hapo.View attachment 2775259
Nyegere
Nyegere anaaminika kuwa ndiye mnyama mwenye wivu kuliko wote. Muda wote dume hutembea nyuma ya jike, na endapo hata jani litamgusa jike, Nyegere dume hulirarua jani hilo.
Chakula kikuu cha mnyama huyo ni asali, kabla ya kuchukua asali huwalewesha nyuki walio katika mzinga na kisha huwatupa mbali kwa mkia wake.
Sema madume ya binadamu hayapigi majani yakigusa majike yao...na pia madume hayana ngozi ngumu kama Nyegere...Siyo kweli. Mnyama mwenye wivu kuliko wote ni binadamu. Japo madume ya binadamu hawatembei nyuma ya majike yao kila saa lakini madume yanachukuwa majike na kuyaweka ndani ya nyumba na kusema yameoa na wamejiwekea sheria kuwa jike likikutwa na dume lisilo lake ndoa inaishia hapo hapo.
Kwa dunia ya leo, Ukiwa binadamu mwenye wivu unaonekana Mjinga na MshambaSiyo kweli. Mnyama mwenye wivu kuliko wote ni binadamu. Japo madume ya binadamu hawatembei nyuma ya majike yao kila saa lakini madume yanachukuwa majike na kuyaweka ndani ya nyumba na kusema yameoa na wamejiwekea sheria kuwa jike likikutwa na dume lisilo lake ndoa inaishia hapo hapo.
[emoji2][emoji2][emoji2] umenikumbusha mbali kipindi nipo Ghana niliona nyama yake nilishanga balaa kumbe watu wanamla bhna huyu kiumbe.....kidogo nionjeView attachment 2775259
Nyegere
Nyegere anaaminika kuwa ndiye mnyama mwenye wivu kuliko wote. Muda wote dume hutembea nyuma ya jike, na endapo hata jani litamgusa jike, Nyegere dume hulirarua jani hilo.
Chakula kikuu cha mnyama huyo ni asali, kabla ya kuchukua asali huwalewesha nyuki walio katika mzinga na kisha huwatupa mbali kwa mkia wake.
YeahImerudiwa hii,
Hapana.wanadhurika vizuri na wanakufa.Kinachowasaidia ni ugumu wa ngozi yao na hayo manyoya.Ndo maana hakiwa anapambana na nyoka anakua anakwepesha sehemu zake laini zising'atwe.Yeye na mongoose wanatumia sana hiyo mbinu kumuua nyoka.Ila wakigongwa vizuri wanakufa kama kawaida.Huyu ni Kiboko ya nyoka wote unaowajua hapa Duniani
Unaambiwa hata Koboko sijui Black mamba akimwona huyu nyegere ili kuepusha Maisha yake hukimbia mbali sana na hakuna sumu ya nyoka inayomdhuru
West African nuksi. Siyo west Afrika tu nadhani kuanzia hapo Zaire. Wanakula nyama za ajabu ajabu kweli kweli. Vinyama vingi vya porini na misituni wanakula.[emoji2][emoji2][emoji2] umenikumbusha mbali kipindi nipo Ghana niliona nyama yake nilishanga balaa kumbe watu wanamla bhna huyu kiumbe.....kidogo nionje
Ni kweli. Hlafu wana reflex kali sana. Nyoka akitaka kurusha kichwa adunge wao wameshakwepa.Hapana.wanadhurika vizuri na wanakufa.Kinachowasaidia ni ugumu wa ngozi yao na hayo manyoya.Ndo maana hakiwa anapambana na nyoka anakua anakwepesha sehemu zake laini zising'atwe.Yeye na mongoose wanatumia sana hiyo mbinu kumuua nyoka.Ila wakigongwa vizuri wanakufa kama kawaida.
Mkuu Kuna Siku nililkuwa naangalia Dstv kipind Cha wanyama NAT GEo,Hapana.wanadhurika vizuri na wanakufa.Kinachowasaidia ni ugumu wa ngozi yao na hayo manyoya.Ndo maana hakiwa anapambana na nyoka anakua anakwepesha sehemu zake laini zising'atwe.Yeye na mongoose wanatumia sana hiyo mbinu kumuua nyoka.Ila wakigongwa vizuri wanakufa kama kawaida
Niliona makala moja, alipambana na koboko, koboko alimng’ata kwa kichwa sumu ikamwingia ila cha ajabu alizimia kwa muda akazinduka. Koboko alikufa.Huyu ni Kiboko ya nyoka wote unaowajua hapa Duniani
Unaambiwa hata Koboko sijui Black mamba akimwona huyu nyegere ili kuepusha Maisha yake hukimbia mbali sana na hakuna sumu ya nyoka inayomdhuru
Inaonekana Nyege-re ana Alkoholi mwilini huyu.kabla ya kuchukua asali huwalewesha