Mnyama Mwenye Wivu kuliko wote Duniani

Mnyama Mwenye Wivu kuliko wote Duniani

Mleta mada,
1.Mnyama mwenye wivu duniani ni binadamu.
2.Ni nyegele.
Yote yanayo isibu dunia chanzo kimojawapo ni wivu wa mnyama number moja,(Binadamu).
Ukibisha wewe jeuri.
 
Ni kweli

Mkuu Kuna Siku nililkuwa naangalia Dstv kipind Cha wanyama NAT GEo,

Black mamba alimgonga nyegere alizima kama dakika kumi hivi baada ya hapo kakainuka kakasepa Sasa katka maelezo wakaelezea swala hilo kuwa n mara chache sana sumu ya nyoka kumuua
Ana ngozi ngumu kama Tairi ya gari yupo jama angu aliwahi kasubiri akagonge na mchi wa kinu mkubwa kalikua kanakula Kuku wake kweli bhana usiku kakatokea alijificha akakapiga bonge la mbata mgongoni na kichwani mchi wake ulidunda ikabidi aanze kuokoa maisha yake alifanikiwa kukimbilia ndani huku akihema kama alibeba mzigo mkubwa tokea hapo akaanza kuwapa heshima yao ingawaje tulimkanya hakutaka kusikia...
 
Ulitakiwa utwambie hua anawalewesheje nyuki

Hufanya hivi ,nyegere hujamba na kijambo chake akijamba kama ni Kijiji Cha makumbusho kitanuka chote akitokea kajamba eneo Hilo ,harufu ile nyuki hupotezwa Hilo mosi (harufu haipotee hatakama Kuna upepo inaduma kwamuda usiopungua saa zaidi ya 3)

Pili ,nyegere ndio mnyama mwenye ngozi ngumu mkuki unadunda ,hivyo nyuki hata akiuma namna gani ule mwiba wa nyuki wenye sumu hautoboi ngozi yake

Simba na ujanja wake wote akikutana na nyegere hufyata mkia ,anamkwara wakufa mtu

Mwisho ,wahehe au wanairinga humwita kwajina maarufu

KINGONGOGO
 
Mleta mada,
1.Mnyama mwenye wivu duniani ni binadamu.
2.Ni nyegele.
Yote yanayo isibu dunia chanzo kimojawapo ni wivu wa mnyama number moja,(Binadamu).
Ukibisha wewe jeuri.
Mleta mada alimaanisha mnyama poli, sio mnyama kisayansi
 
Back
Top Bottom