Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 13,667
- 21,296
Real?
Kwanza wabunge wa IPU walishangazwa kuona speaker wetu ni mzungu (Zungu) hana rangi nyeusi kama Tulia Akson. Wamegundua Tz hakuna hata ubaguzi wa rangi, dini, jinsia wala makabila.

Mnyika ameithibitishia dunia mbele ya wajumbe wa IPU (wabunge wa dunia) kuwa Tanzania kuna uhuru mkubwa wa kusema na kukosoa serikali na demokrasia kubwa sana ya kiwango cha dunia.
Hiki anachokifanya Mnyika na chadema cha kusema na kuikosoa serikali na viongozi wakuu mbele ya ujumbe mzito wa kimataifa kinaweza kufanywa tu kwenye nchi za magharibi ambako demoktasia iko juu sana. Hii inaiongezea heshima Tanzania kwenye nyanja za kidemorasia na haki ya kusema. Inampa heshima kubwa Rais Samia kuwa watu wake wanaweza kutoa dukuduku zao bila kukamatwa. Hii iko ulaya tu na marekani. Na inafuta rasmi uongo kuwa kama ukitoa maoni yako na kuikosoa serikali utatekwa, utafunguliwa mashitaka ya uongo na utapigwa risasi.
Mpaka IPU (wabunge wa dunia) kuamua kuja kufanya mkutano wao Tanzania tayari wana taarifa nyingi sana kuhusu Tanzania juu ya usalama wao na kile kilichotokea Oct29 kinachopotoshwa.
Bila shaka Dunia imejiridhisha kuwa:
1. Tanzania ina katiba halali iliyotumika tangu 1977 hata kama Katiba hiyo ina mapungufu. Duniani hakuna katiba isiyolalamikiwa.
2. Uchaguzi unafanyika kwa mujibu wa katiba ya 1977 hata kama kuna wasioridhika nayo
3. chadema walisusia uchaguzi wao wenyewe kwasababu ya kupinga uchaguzi unaofanyika kwa mujibu wa katiba halali wanayoilalamikia
4. chadema ni kati ya vyama 19 vilivyoko Tz, why chadema?
5. Lissu alikuwa na ugomvi na serikali ya Rais Magufuli, na aliumia wakati wa magufuli sio wakati wa Rais Samia.
6. Rais Samia ndiye aliyevifungulia vyama vya upunzani kuanza tena kufanya kazi za siasa baada ya kuwa Rais mwanamke.
7. Samia ndiye alimrejesha nyumbani Lissu nyumbani kutoka uhamishoni
8. Dunia imeipata na kuisikiliza hotuba ya Lissu ya trh 3/4/2025 iliyokuwa chanzo cha mashitaka yake ya sasa.
9. chadema walitaka kumpindua Rais mwanamke.
10. Kuna watanzania ambao hawataki mwanamke kuwa Rais (hii iko duniani kote)
11. Samia ana afadhali kidemokrasia kuliko Rais magufuli, wanalijuwa hilo.
12. Tanzania kuna amani na utulivu mkubwa na maendeleo makubwa kulinganisha na nchi nyingine za Afrika kusini mwa jangwa.
Mnyika anaipaisha Tanzania kidemokrasia mbele ya wajumbe wa dunia. Mambo kama haya yanapatikana huko ulaya na Marekani. Alichokifanya Mnyika huwezi kukiona Rwanda, Uganda, Congo na nchi nyingine za kiafrika.
Dunia haiwezi kukusanyika sehemu ambayo wamejiridhisha kuwa hakuna usalama.
View: https://www.youtube.com/live/ERUOY15S5cs?si=bNsKLmko3DBUBTQw
Hoja dhaifu, hata kama wewe una ushawishi huwezi kuwashawishi wabunge wa dunia wakusanyike mahala ambapo sio salama kwao. Nchi zao (hasa nchi za Magharibi) haziwezi kuruhusu wabunge wao waende nchi ambayo wana ugomvi nayo, sio salama na haina demokrasia.Umeandikia Nini sasa. Hiyo IPU walifanya mkutano hapa mwaka Jana na Samiah alikuwa mgeni rasmi. Pia lazima ujue Rais wa IPU ni Mtanzania hivyo anatumia influence yake.
Hizi picha hakuna inayoonyesa kuwa imetoka Tz. yaani wote hawa hakuna hata mmoja mwenye utambulisho wa tz hata japo fulana ya timu ya Simba au Yanga au Azam au ushanga mkononi wenye rangi za bendera ya Tanzania?. Watanzania sio wajinga wa kiasi hicho. Hapo unajitekenya na kucheka wenyewe.
IPU bado wapo, itisheni press nyingine tafadhali, na wengine andamaneni japo kidogo tu na mabango yenu kufikisha ujumbe wenu. Ukimuona zumbe msalimie na kumwambia kero zako hapohapo.Umeandika ukumah
Mnyika ameithibitishia dunia mbele ya wajumbe wa IPU (wabunge wa dunia) kuwa Tanzania kuna uhuru mkubwa wa kusema na kukosoa serikali na demokrasia kubwa sana ya kiwango cha dunia.
Hiki anachokifanya Mnyika na chadema cha kusema na kuikosoa serikali na viongozi wakuu mbele ya ujumbe mzito wa kimataifa kinaweza kufanywa tu kwenye nchi za magharibi ambako demoktasia iko juu sana. Hii inaiongezea heshima Tanzania kwenye nyanja za kidemorasia na haki ya kusema. Inampa heshima kubwa Rais Samia kuwa watu wake wanaweza kutoa dukuduku zao bila kukamatwa. Hii iko ulaya tu na marekani. Na inafuta rasmi uongo kuwa kama ukitoa maoni yako na kuikosoa serikali utatekwa, utafunguliwa mashitaka ya uongo na utapigwa risasi.
Mpaka IPU (wabunge wa dunia) kuamua kuja kufanya mkutano wao Tanzania tayari wana taarifa nyingi sana kuhusu Tanzania juu ya usalama wao na kile kilichotokea Oct29 kinachopotoshwa.
Bila shaka Dunia imejiridhisha kuwa:
1. Tanzania ina katiba halali iliyotumika tangu 1977 hata kama Katiba hiyo ina mapungufu. Duniani hakuna katiba isiyolalamikiwa.
2. Uchaguzi unafanyika kwa mujibu wa katiba ya 1977 hata kama kuna wasioridhika nayo
3. chadema walisusia uchaguzi wao wenyewe kwasababu ya kupinga uchaguzi unaofanyika kwa mujibu wa katiba halali wanayoilalamikia
4. chadema ni kati ya vyama 19 vilivyoko Tz, why chadema?
5. Lissu alikuwa na ugomvi na serikali ya Rais Magufuli, na aliumia wakati wa magufuli sio wakati wa Rais Samia.
6. Rais Samia ndiye aliyevifungulia vyama vya upunzani kuanza tena kufanya kazi za siasa baada ya kuwa Rais mwanamke.
7. Samia ndiye alimrejesha nyumbani Lissu nyumbani kutoka uhamishoni
8. Dunia imeipata na kuisikiliza hotuba ya Lissu ya trh 3/4/2025 iliyokuwa chanzo cha mashitaka yake ya sasa.
9. chadema walitaka kumpindua Rais mwanamke.
10. Kuna watanzania ambao hawataki mwanamke kuwa Rais (hii iko duniani kote)
11. Samia ana afadhali kidemokrasia kuliko Rais magufuli, wanalijuwa hilo.
12. Tanzania kuna amani na utulivu mkubwa na maendeleo makubwa kulinganisha na nchi nyingine za Afrika kusini mwa jangwa.
Mnyika anaipaisha Tanzania kidemokrasia mbele ya wajumbe wa dunia. Mambo kama haya yanapatikana huko ulaya na Marekani. Alichokifanya Mnyika huwezi kukiona Rwanda, Uganda, Congo na nchi nyingine za kiafrika.
Dunia haiwezi kukusanyika sehemu ambayo wamejiridhisha kuwa hakuna usalama.
View: https://www.youtube.com/live/ERUOY15S5cs?si=bNsKLmko3DBUBTQw
Ulisoma Hadi la ngapi dadaEndeleeni kusema mbele ya wageni wa IPU, tena mkiweza chukueni hata mabango yenye ujumbe na kwenda nayo nje ya ukumbi kunakofanyika mkutano wa dunia.
Dunia imeshajiridhisha kuwa tanzania ni salama kabisa kwa kiwango cha dunia kuweza kukusanyika. Chadema someni alama za nyakati.
Ajabu!!Kwa hiyo chadema ndo inafanya tujue kuna democrosia au hamna
Umepuyanga kaka, Kuna mikutano mingi sana ya kimataifa imefanyikia Rwanda, lakini hakuna mtu, kundi wala chama huko Rwanda kina ubavu wa kuitisha maandamano au press ya kuikosoa serikali, viongozi, na kiongozi mkuu Rais Kagame wakati mkutano ukiendekelea kama alivyofanya Mnyika na chadema kwa Tanzania na IPU wakiwepo.Mkuu Mtoa Mada,
Nimesoma kwa umakini uchambuzi wako, lakini una shida kubwa moja: unachanganya diplomasia ya ukumbi wa mkutano na hali halisi ya uwanja wa siasa wa ndani (field reality). Kitendo cha Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, kuzungumza na kukosoa serikali mbele ya ujumbe wa IPU hakijathibitisha uwepo wa "demokrasia ya kiwango cha dunia" nchini Tanzania, bali kimethibitisha ujasiri wa upinzani kutumia kinga ya jukwaa la kimataifa kufikisha kilio cha wananchi.
Naomba nikujibu hoja zako kwa hoja kupitia mambo makuu manne (4) yafuatayo:
1. Kuhusu IPU Kuja Tanzania na Suala la Usalama
Mkuu, kufanyika kwa mkutano wa IPU Arusha siyo "cheti cha kusafisha" (endorsement) rekodi ya haki za binadamu ya nchi mwenyeji. IPU ni chombo cha kidiplomasia ambacho hufanya mikutano yake hata kwenye nchi zenye migogoro mikubwa au mifumo migumu ya kiimla ili kuhimiza mabadiliko. Kwa muktadha wako, IPU imewahi kufanya mikutano yake mikubwa nchini Rwanda (2022) na Angola (2023)—nchi ambazo ripoti zote za kimataifa zinajua mnyukano wao wa kisiasa. IPU inakuja kwa sababu ya usalama wa kijiografia na hadhi ya nchi kidiplomasia, siyo kwa sababu nchi husika haina makovu ya kidemokrasia.
2. Kitendo cha Mnyika Kukosoa si Fadhila ya Serikali, ni Kinga ya IPU
Unadai kuwa jambo hili haliwezi kufanyika Rwanda, Uganda, au Congo na kwamba lipo Ulaya tu. Huu ni upotoshaji. Kwanza, Mnyika hajazungumza kwenye jukwaa la ndani la CCM; amezungumza ndani ya mkutano wa IPU ambako kisheria na kidiplomasia kuna kinga ya kimataifa (diplomatic immunity). Serikali isingeweza kumzuia au kumkamata ndani ya ukumbi huo bila kusababisha mgogoro mkubwa wa kidiplomasia mbele ya wabunge wa dunia. Uhuisho wa demokrasia haupimwi kwa uhuru wa mpinzani akiwa ndani ya ukumbi wa kimataifa, bali unapimwa kwa nini kinamtokea baada ya wajumbe hao kuondoka na kurudi kwao.
3. Hoja ya Kujilinganisha na Nchi "Zilizofeli" (Rwanda na Uganda)
Kusema "huwezi kuona jambo hili Rwanda au Uganda" ni kujipongeza kwa kupita kiwango cha chini sana cha kimaadili (low bar). Tanzania tangu enzi za Mwalimu Nyerere imekuwa kinara wa diplomasia na utulivu; hatuwezi kuanza kujilinganisha na nchi zenye mifumo ya kiimla ili tuonekane tuna afadhali. Hata hivyo, kwenye nchi kama DRC (Congo), pamoja na changamoto zao zote, viongozi wa upinzani kama Martin Fayulu na Moïse Katumbi wanazungumza, wanakosoa serikali hadharani mbele ya jumuiya za kimataifa, na vyama vyao havifungiwi wala viongozi wao hawashtakiwi kwa uhaini kila kukicha.
4. Uhusiano wa Amani, Maendeleo na Kesi ya Uhaini
Mwisho kabisa, hoja yako inajigeuza yenyewe (self-defeating). Huwezi kusifu uwepo wa "uhuru wa kusema bila kukamatwa" huku kwa wakati huohuo kiongozi mkuu wa upinzani, Tundu Lissu, akiwa gerezani akikabiliwa na mashitaka ya uhaini kwa sababu tu ya maneno aliyoyazungumza kwenye hotuba yake. Amani ya kweli (positive peace) siyo tu kutokuwepo kwa milio ya risasi barabarani, bali ni kuwapo kwa haki, utawala wa sheria, na kutokuwepo kwa hofu ya kutekwa au kubambikiwa kesi kwa wanaotoa maoni mbadala.
Hitimisho:
Mnyika hajaipaisha serikali kama unavyoamini, bali ametumia fursa hiyo kuonyesha ulimwengu taswira halisi ya nchi yetu. Ni ukweli usiopingika kuwa, kwa macho ya kiushabiki na 'uchawa' yenye upofu wa kiitikadi, unaweza kuona andiko lako lina ukweli; lakini kwa macho ya watu wenye akili timamu na upeo wa kiuchambuzi, Katibu Mkuu John Mnyika ameiweka uchi mifumo yetu ya utawala mbele ya jumuiya ya kimataifa. Amethibitisha kuwa Tanzania ina taswira nzuri ya nje (facade) lakini ndani kuna mgogoro mzito wa kidemokrasia na kisheria unaopaswa kutatuliwa badala ya kufichwa chini ya zulia.
Mnyika ameithibitishia dunia mbele ya wajumbe wa IPU (wabunge wa dunia) kuwa Tanzania kuna uhuru mkubwa wa kusema na kukosoa serikali na demokrasia kubwa sana ya kiwango cha dunia.
Hiki anachokifanya Mnyika na chadema cha kusema na kuikosoa serikali na viongozi wakuu mbele ya ujumbe mzito wa kimataifa kinaweza kufanywa tu kwenye nchi za magharibi ambako demoktasia iko juu sana. Hii inaiongezea heshima Tanzania kwenye nyanja za kidemorasia na haki ya kusema. Inampa heshima kubwa Rais Samia kuwa watu wake wanaweza kutoa dukuduku zao bila kukamatwa. Hii iko ulaya tu na marekani. Na inafuta rasmi uongo kuwa kama ukitoa maoni yako na kuikosoa serikali utatekwa, utafunguliwa mashitaka ya uongo na utapigwa risasi.
Mpaka IPU (wabunge wa dunia) kuamua kuja kufanya mkutano wao Tanzania tayari wana taarifa nyingi sana kuhusu Tanzania juu ya usalama wao na kile kilichotokea Oct29 kinachopotoshwa.
Bila shaka Dunia imejiridhisha kuwa:
1. Tanzania ina katiba halali iliyotumika tangu 1977 hata kama Katiba hiyo ina mapungufu. Duniani hakuna katiba isiyolalamikiwa.
2. Uchaguzi unafanyika kwa mujibu wa katiba ya 1977 hata kama kuna wasioridhika nayo
3. chadema walisusia uchaguzi wao wenyewe kwasababu ya kupinga uchaguzi unaofanyika kwa mujibu wa katiba halali wanayoilalamikia
4. chadema ni kati ya vyama 19 vilivyoko Tz, why chadema?
5. Lissu alikuwa na ugomvi na serikali ya Rais Magufuli, na aliumia wakati wa magufuli sio wakati wa Rais Samia.
6. Rais Samia ndiye aliyevifungulia vyama vya upunzani kuanza tena kufanya kazi za siasa baada ya kuwa Rais mwanamke.
7. Samia ndiye alimrejesha nyumbani Lissu nyumbani kutoka uhamishoni
8. Dunia imeipata na kuisikiliza hotuba ya Lissu ya trh 3/4/2025 iliyokuwa chanzo cha mashitaka yake ya sasa.
9. chadema walitaka kumpindua Rais mwanamke.
10. Kuna watanzania ambao hawataki mwanamke kuwa Rais (hii iko duniani kote)
11. Samia ana afadhali kidemokrasia kuliko Rais magufuli, wanalijuwa hilo.
12. Tanzania kuna amani na utulivu mkubwa na maendeleo makubwa kulinganisha na nchi nyingine za Afrika kusini mwa jangwa.
Mnyika anaipaisha Tanzania kidemokrasia mbele ya wajumbe wa dunia. Mambo kama haya yanapatikana huko ulaya na Marekani. Alichokifanya Mnyika huwezi kukiona Rwanda, Uganda, Congo na nchi nyingine za kiafrika.
Dunia haiwezi kukusanyika sehemu ambayo wamejiridhisha kuwa hakuna usalama.
View: https://www.youtube.com/live/ERUOY15S5cs?si=bNsKLmko3DBUBTQw
Kama walikuwa wanadanganywa kuwa Afrika hakuna uhuru wa kuongea, kukosoa, na ukiisema na kuikosoa serikali utakamatwa na kutekwa na kupigwa risasi sasa wanajionea wenyewe kwa macho Mnyika anabweka bila hofu kama vile yuko Los Angels na Brussels anakosoa viongozi na serikali kwa hasira kwa uhuru kabisa.
Wageni wa IPU watarejea na twaswira tofauti kaaabisa. Vitu kama hivyo huwezi kuvipata Rwanda.
Hizi picha hakuna inayoonyesa kuwa imetoka Tz. yaani wote hawa hakuna hata mmoja mwenye utambulisho wa tz hata japo fulana ya timu ya Simba au Yanga au Azam au ushanga mkononi wenye rangi za bendera ya Tanzania?. Watanzania sio wajinga wa kiasi hicho. Hapo unajitekenya na kucheka wenyewe.
Wale waliokufa Oct29 walikufa kizembe sana kwa kudanganywa na chadema kuwa wanaweza kuuzuia uchaguzi wa Kikatiba nchi nzima. Pia waliambiwa waiangushe serikali ili chadema kuleta mabadiliko ya uongozi nchini, kazi ambayo haikuwa SMART (Specific, Measurable, Achievable, Realistic and Time bound). Mafisimaji walijificha magerezani wakisubiri watoto walete mabadiliko. Sasa hivi vijana wamekufa wakati wao wanadunda mitaani na wengine wakitafuta loopholes za kisheria kukana walichofanya.
Hebu kuwa na disiplini basi na wazungu. Wazungu wana ile kitu wanaita "safety first". Wanajali usalama wao na maslahi yao kwanza mengine ndiyo yafate.Huu mkutano si kikao cha kifamilia, anayemaliza urais ndiko kikao kitafanyika.
Bahati mbaya kwenu ni kuiona dunia nzima ikiwa nyuma ya Samia. Rais Magufuli alisema ukishindana na mwanamke utashindwa wewe.

Ni kazi ngumu sana kwa mwanamke kuwa Rais hata huko ulaya na Marekani. Hiyo ni agenda ya wanawake wote duniani kuungana dhidi ya mfumo dume wa dunia. Ndiyo maana dunia inamuona Lissu na chadema kama watu wanaonyanyasa wanawake, hawatafua dafu kimataifa. Dunia yote inaufahamu uhusiano uliopo kati ya Rais Samia na Lissu, haiamini kama Samia anaweza kumuonea Lissu kutokana na uhusiano wake na Lissu kabla ya kukamatwa. Hawaamini kama Samia anaweza kuua watu wake kipumbavu tu.
Chadema hakuna watu wenye akili za kuchagua moments, wanabuluzwa na Lissu kama watoto wasioweza kusema no tujaribu hivi au vile.
Hiyo taasisi ni ipi tena, Ni taasisi ya kuzuia xenophibia au nini?
Hii nchi siyo ya baba yako, siwapendi machokoraa wanaopenda dharau.Hebu kuwa na disiplini basi na wazungu. Wazungu wana ile kitu wanaita "safety first". Wanajali usalama wao na maslahi yao kwanza mengine ndiyo yafate.
Kupata urais wa IPU sio an automatic thing, sio mzunguuko. Kwanza unajua namna/kwanini Tulia Akson aliupata?
Unajua kwanini Prof. JANABI alipata kule UN?
Unajua Tanzania Tz inawania uwakilishi kule UN, kwanini Afrika imekubali kutuunga sisi mkono?
Kuichafua Tz na kumchafua Rais Samia lazima utaanza wewe kujichafua kwanza. Yuko slow but powerful.
KOsa lenu ni kuichoma nchi yetu kama ya mama yenu. Hamna tofauti na wale makahaba 2 waliokuwa wakigombea mtoto kila mtu akidai ni wake, hadi pale Nabii Suleimani alipoamua kesi. Kahaba ambae mtoto hakuwa wake alikubali mtoto akatwe vipande viwili (auliwe) ili wakose wote.Hii nchi siyo ya baba yako, siwapendi machokoraa wanaopenda dharau.